GSM alishindaje tender wakati quality ya uwanja na namna ya kurejesha fedha yake haijawekwa wazi? Vipi kama atashindwa baada ya kuonyeshwa BOQ na mgawanyo wa mapato kati yake na club, atajitoa au vipi?Haya masuala ya uwekezaji katika hizi timu za simba na yanga janja janja nyingi sana, na serikali inawaacha kwa makusudi ili iweze kuwa-blackmail baadae itakapohitaji kuwatumia kwa masilahi yao.
Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.
Sarakasi zile zile za mudi na simba. Unanunua hisa 51% za klabu wakati klabu haijawahi kufanyiwa valuation na kujulikana ina thamani gani. Finance ya wapi hii.
Jambo ambalo lipo ni kwamba haiwezekani kutokea kushindwana na club kwasababu aliyepo kwaajili ya club anatokea upande wa GSM.GSM alishindaje tender wakati quality ya uwanja na namna ya kurejesha fedha yake haijawekwa wazi? Vipi kama atashindwa baada ya kuonyeshwa BOQ na mgawanyo wa mapato kati yake na club, atajitoa au vipi?
kikubwa uwanja ujengweYanga wametoa pesa kwa mkono wa kulia na kumlipa mkono wa kushoto
Madako'anokho! Wewe inakuhusu nini? Mavi usiyoyala wayawingiani kuku?Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama wanamudu kujenga na wanakubali taratibu za mapato na matumizi ya uwanja.
Kujadili aina ya uwanja na aina ya biashara na mgawanyo wa mapato ya uwanja baada ya kumpata mwekezaji haipendezi na sio sawa. Hiyo ni after the facts, inayoweza kuhojiwa au aliyeshinda tender akaweza kujitoa kutokana yatakayojili kwenye mkutano kati ya mwekezaji na kamati ya yanga itakayojadili mambo hayo.
Kwani kuna mahali wanasema ataumiliki huo uwanja? Hebu tuache ujuaji kwa mambo yasiyotuhusu!Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.
Alieshinda tenda ya kujenga uwanja ni kampuni ya mwekezaji,hivi ndivyo dhahabu yetu itakavyouzwa.Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama wanamudu kujenga na wanakubali taratibu za mapato na matumizi ya uwanja.
Kujadili aina ya uwanja na aina ya biashara na mgawanyo wa mapato ya uwanja baada ya kumpata mwekezaji haipendezi na sio sawa. Hiyo ni after the facts, inayoweza kuhojiwa au aliyeshinda tender akaweza kujitoa kutokana yatakayojili kwenye mkutano kati ya mwekezaji na kamati ya yanga itakayojadili mambo hayo.
Mo ni TAPELI.Haya masuala ya uwekezaji katika hizi timu za simba na yanga janja janja nyingi sana, na serikali inawaacha kwa makusudi ili iweze kuwa-blackmail baadae itakapohitaji kuwatumia kwa masilahi yao.
Maana hapo GSM akipishana na serikali uko mbeleni ataambiwa suala la uwanja halikufuata taratibu tunakupokonya, atalazimika kuwa mdogo sababu ashaingia gharama.
Sarakasi zile zile za mudi na simba. Unanunua hisa 51% za klabu wakati klabu haijawahi kufanyiwa valuation na kujulikana ina thamani gani. Finance ya wapi hii.
Mpaka sasa GSM hajawa mwekezaji bali mdhamini na mfadhili.Alieshinda tenda ya kujenga uwanja ni kampuni ya mwekezaji,hivi ndivyo dhahabu yetu itakavyouzwa.
Kujitolea bila makubaliano maalumu kwa anaejitolea kuweka wazi anataka nini kunaweza kuleta mgogoro baadae atakapotaka compensation ya kujitolea kwake. Nia njema inawezekana kabisa ikatendeka kwa kufuata utaratibu.Mo ni TAPELI.
Kuhusu uwanja wa Yanga, itafahamika baada ya uwanja kukamilika ikajulikana mmiliki ,mwenye hati ni nani na na mgawanyo wa mapato ukoje.
GSM anajitolea sana hapo Yanga kwa kununua wachezaji wa bei kubwa, kulipa gharama za hostel na kutoa bonus za za mechi kubwa.
Huwezi kushangaa anapopewa kipaumbele. Jambo la msingi isiwe kwa kuumiza Club.
Kwa akili yako unafikiri anaingia gharama za kutengeneza uwanja halafu anawapa yanga bure?Kwani kuna mahali wanasema ataumiliki huo uwanja? Hebu tuache ujuaji kwa mambo yasiyotuhusu!