Kwenye hizo timu wengi hujitolea tu. Hata wananchama huchangia chochote.Kujitolea bila makubaliano maalumu kwa anaejitolea kuweka wazi anataka nini kunaweza kuleta mgogoro baadae atakapotaka compensation ya kujitolea kwake. Nia njema inawezekana kabisa ikatendeka kwa kufuata utaratibu.
Kesi ya mudi na simba ipo hivi hivi. Jamaa alianza kutoa mzigo kabla ya makubaliano
Ingekuwa ni kujitolea pasipo maslahi hakika wangeshabwaga manyanga muda mrefu sana. Au ni lazima wangeharakisha mchakato wa mabadiliko ili mzigo majukumu yabebwe na wengi. Katiba ya Yanga tayari lakini imeishia kwa kutekeleza kipengele kimoja tu cha raisi wa timu lakini vipengele vyote vilivyobakia hawavitaki kuvikamilisha kwa wakati.Kwenye hizo timu wengi hujitolea tu. Hata wananchama huchangia chochote.
Mashabiki na wanachama wa hizo timu hawafanyi biashara.
Unaona eeeeh!Utakuta mleta mada kaandika uzi uku anapika ugali watoto washemej wakirud shule wale
Hakuna ishu ya wawekezaji kuwa watatuMpaka sasa GSM hajawa mwekezaji bali mdhamini na mfadhili.
Amekuwaje mwekezaji wakati mchakato wa uwekezaji haujakamilika?
Kumbuka ukikamilika wanatakiwa wawekezaji watatu au zaidi kwa mujibu wa katiba mpya.
Unaweza kuniambia GSM amewekeza asilimia ngapi na hicho kiasi ni shilingi ngapi?
Hapa umepotosha kwa kutojua au kwa makusudi.
Simba pekee ndiyo mwekezaji ameshanunua hisa 49% tayari.
Kisheria na kimfumo wa uwekezaji kwenye klabu ya Young Africans SC (Yanga), muundo uliopendekezwa na mamlaka za soka na serikali nchini Tanzania una mambo mawili muhimu:Hakuna ishu ya wawekezaji kuwa watatu
Yule jamaa wa Geita aliyetoa ng'ombe alipata nini??Ingekuwa ni kujitolea pasipo maslahi hakika wangeshabwaga manyanga muda mrefu sana. Au ni lazima wangeharakisha mchakato wa mabadiliko ili mzigo majukumu yabebwe na wengi. Katiba ya Yanga tayari lakini imeishia kwa kutekeleza kipengele kimoja tu cha raisi wa timu lakini vipengele vyote vilivyobakia hawavitaki kuvikamilisha kwa wakati.
Yanga kuwa kampuni bado, thamani ya Yanga bado, wawekezaji zaidi ya mmoja na mgawanyo wa hisa bado lakini yote wanayafanya kwa kuchelewa ili GSM iendelelee kuwepo ndani ya Yanga. Kuna namna hawa watu wanapata maslahi kwenye biashara zao na upande wa serikali. Ndio maana Mo Dewji anatangaza kupata hasara ila swala la kung'atuka hataki.