Nami niliposikia amejiuzuru, amechukizwa na ile issue ya Morisson, nikampongeza nikijua yeye hafanani na hawa Waswahili wetu. Kumbe, NYANI WA SOUTH na wale wa kule Kigoma, ni sawa tu!Nilikuwa namheshimu sana Senzo kumbe naye kama morrison tu, wananchi hawajui watamzibua nyie mwacheni tu
Ndugu mcha mbuzi Unawalinganisha vipi senzo na morrison?Nilikuwa namheshimu sana Senzo kumbe naye kama morrison tu, wananchi hawajui watamzibua nyie mwacheni tu
Ktk taifa lp? La viongoz gan? Ask yourselfSenzo atauanika utapeli wa MO
Sio wamemteua Senzo, Senzo anaenda TFF kwa mujibu wa nafasi yake kama mtendaji mkuu wa Yanga. Ni vema pia ijulikane kuwa Senzo hawezi kugeuza mkataba wa Morrison na Simba kama ni halali, pia hawezi kugeuza mkataba wa Yanga kuwa halali ikiwa ulikuwa feki.BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON
UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON
NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE
NA BAADA YA MAZUNGUMZO.
MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
Nadhani kesi ilishasikilizwa kwa pande zote kuwasilisha ushahidi (morison na yanga) so kilichobaki ni matokeo ya validity ya ushahidi uliowadilishwa hicho ndiCho tunachosubiria na sio hearing tenaBAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON
UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON
NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE
NA BAADA YA MAZUNGUMZO.
MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
Sio wamemteua Senzo, Senzo anaenda TFF kwa mujibu wa nafasi yake kama mtendaji mkuu wa Yanga. Ni vema pia ijulikane kuwa Senzo hawezi kugeuza mkataba wa Morrison na Simba kama ni halali, pia hawezi kugeuza mkataba wa Yanga kuwa halali ikiwa ulikuwa feki.
Yanga wanaitwa TFF kwa kuwa wao wanalalamikiwa na Morrison, na kisheria huwezi kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.
Vv
Vv
kumbuka kunamaisha baada ya michezo,ukisimamia mapenzi ya utim utaishia kula viazi tu.Nilikuwa namheshimu sana Senzo kumbe naye kama Morrison tu, wananchi hawajui watamzibua nyie mwacheni tu
Nami niliposikia amejiuzuru, amechukizwa na ile issue ya Morisson, nikampongeza nikijua yeye hafanani na hawa Waswahili wetu. Kumbe, NYANI WA SOUTH na wale wa kule Kigoma, ni sawa tu!
CEO, na katibu mtendaji roles zao ni zile zile tu, ni utofauti wa majina tu mkuu. Kwani majukumu yao ni usimamizi wa shughuri zote za kila siku.Yanga hawana nafasi ya Utendaji Mkuu. Sijajua anaingia kwa nafasi gani Yanga
Asante kwa ufafanuzi. Ni lugha tu mimi ndo ilinitatiza kutoka kwa aliyetoa uzi na sijajua anaenda kukaimu nafasi gani kwa sababu Yanga haina cheo cha CEOCEO, na katibu mtendaji roles zao ni zile zile tu, ni utofauti wa majina tu mkuu. Kwani majukumu yao ni usimamizi wa shughuri zote za kila siku.
Matokeo ya TFF yakoje???Kwisha habari yao Mikia na wale Waswahili wawili Manara na Muddy.
Nimecheka Sana 😁😂Nilikuwa namheshimu sana Senzo kumbe naye kama Morrison tu, wananchi hawajui watamzibua nyie mwacheni tu