Yanga wamekosea changa 100m kwa CCM, weledi haukuonekana

Yanga wamekosea changa 100m kwa CCM, weledi haukuonekana

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji. Eng. Hersi ameteleza vibaya sana kwenye hili. Pale ingetosha tu kusema GSM kachangia 10b basi. Na watu wa media wakakosea zaidi kuiweka 100m kwenye accounts ya habari ya Yanga kuonyesha kuwa Yanga imechanga hiyo pesa kutoka kwenye vyanzo vyake.
 
Ngoja wapewe lifeban kwa kuchanganya michezo na siasa
 
Mnaomwona huyo eng.hersi eti ana akili sana nawashangaa sana
Ni kijanà, tunamsamehe. Asitoe maelezo mengi, eseme tu "nimekosa Mimi nimekosa Mimi nimekosa Mimi"
 
Back
Top Bottom