Yanga wameliingiza jina la Morison katika mfumo wa usajili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku viongozi wa yanga watakula bakora live pale jangwani. Hivi kuingiza taarifa za mchezaji wenye tms si mpaka apitishwe na tff tena iwe chini ya tms officer wa tff. Sasa mkataba una shida na hukumu toka katika kamati ilitoka wanawezaje kuingiza hilo jina na details ktk tms?

I stand to be corrected
 
Kwahiyo hawawezi kuingiza majina ya usajili bila TFF?
 
Ni kweli BM33 ni mali halali ya wanajangwani, hayo mengine ya Tff ni porojo na kujifurshisha tu. Habari ndiyo hiyo mkuu.
 
Hapo ndipo ufinyu wa mawazo wa msimu Dr Msolla,unapojidhihirisha walisema wanakata rufaa ktk mahakama ya michezo(CAS).Inakuwaje leo akaliingiza kwenye system ,wakati bado hawajakata rufaaa,au wameamua kuwahadaaa wanachama namashabiki wao wa UtOPoLo?au ndiyo yale Yale aliyosema dj Luc?
 
Hivi akiliingiza baadaye kama kuna makosa ni adhabu pia inawahusu
 
wapele tu,

watu washuke daraja[emoji23]
 
Hawa viongozi wa yanga watulie tu hili jambo mashabiki washakubaliana nalo..sasa waobado wanawashwawashwa. Litawatokea puani.
 
Wewe ndio akili kabisa hakuna, huo udokta hakuuokota barabarani, tulia uone mambo yanavyoenda.
 
Alishagapitishwa na hao hao tff ndo maana yanga wanajiamini sana huko fifa
 
Wale wazee wa yanga wameshndwa kabisa kumpga misumari huyu jamaa?
 
Wewe ulishawahi kufanya kazi huko FIFA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…