Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Usijifanye mjuaji ndo shida ya wabongo hii mpaka ya huko FIFA unayajua kwamba wataamua nini.?Ona maswali ya washabiki lia lia sasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Morrison kawazidi akili hapa bongo ndio mkashinde FIFA !!!!Usijifanye mjuaji ndo shida ya wabongo hii mpaka ya huko FIFA unayajua kwamba wataamua nini.?
Acha FIFA waamue tujue mbivu na mbichi hatuwezi kutapeliwa kizembe
Hujajibu swali
Sihitaji kujua kuhusu mmakonde .Morrison kawazidi akili hapa bongo ndio mkashinde FIFA !!!!
Nimekuambia hivi atachelewa kucheza lkn mwisho wa siku atacheza simba..
Unajua kwa nini mmakonde alichelewa kucheza simba.... Au ushabiki umekutawala?..
Nendeni FIFA bwana mtarudi na ushindi, ngoja niangalie psg usinichoshe.Sihitaji kujua kuhusu mmakonde .
Ila shida ya wabongo ni utabiri na ujuaji kama wako vipi kama akifungiwa?
Punguza kiherehere
PropagandaMwenyekiti wa Yanga ni Daktari katika fani gani?
Watakua wanaenda kupiga misele kushangaa mji wanatumia hovyo rasilimali zinazochangwa na mashabiki halafu wanawajaza upepo kua hii ni timu ya wananchiMwanzoni walisema wanaenda cas nini kinawarudisha fifa
Suala ni Kama jjna limo kweli kwenye system hiyo ah vipi...Sasa suala la kuwahadaa wanajangwani ni pale Kama jina Hilo halimo kwenye orodha ya Yanga.Hapo ndipo ufinyu wa mawazo wa msimu Dr Msolla,unapojidhihirisha walisema wanakata rufaa ktk mahakama ya michezo(CAS).Inakuwaje leo akaliingiza kwenye system ,wakati bado hawajakata rufaaa,au wameamua kuwahadaaa wanachama namashabiki wao wa UtOPoLo?au ndiyo yale Yale aliyosema dj Luc?
MWANA KULI-FIND, MWANA KULI-GET....KAJISEMEA MTU MFULANI MFUPI HIVI...ANGESEMA SIKU AMBAYO HUKUMU IMETOLEWA ANAJUA ANACHOKIFANYA HUYOMwenyekiti wa klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msolla amethibitisha kuwa wameliingiza jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison katika mfumo wa usajili wa wachezaji wa klabu hiyo (Transfer Matching system) na wamepeleka katika Shirikisho la soka la Barani Afrika na ShirikishoVI la soka la Dunia (FIFA).
Msolla amesema kuwa Kiungo huyo ni Mchezaji wao halali na hukumu iliyotolewa na Kamati ya (TFF) haina Uhalali wowote.
Msola amesema Jumatatu watatuma shauri la mchezaji huyo shirikisho la soka Duniani FIFA na ikiwa shirikisho hilo litamuidhinisha kuwa ni mchezaji wa Yanga, basi itawalazimu Simba waende mezani wakamalizane nao.
Orodha ya wachezaji wa Kigeni yaliyoingizwa katika mfumo wa TMS: Farouk Shikalo, Mukoko Tonombe, Michael Sarpong, Tuisila Kisinda, Haruna Niyonzima, Lamine Moro, Yacouba Sogne, Carlinhos Carmo na Bernard Morrison.
HII TAARIFA MNAONAJE?
Yanga wanatufanya watanzania wote mazuzu unaingizaje tMs ya mchezaji kama leseni yake unaingizaje tms kama huna kibali cha kaziMwenyekiti wa klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msolla amethibitisha kuwa wameliingiza jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison katika mfumo wa usajili wa wachezaji wa klabu hiyo (Transfer Matching system) na wamepeleka katika Shirikisho la soka la Barani Afrika na Shirikisho la soka la Dunia (FIFA).
Msolla amesema kuwa Kiungo huyo ni Mchezaji wao halali na hukumu iliyotolewa na Kamati ya (TFF) haina Uhalali wowote.
Msola amesema Jumatatu watatuma shauri la mchezaji huyo shirikisho la soka Duniani FIFA na ikiwa shirikisho hilo litamuidhinisha kuwa ni mchezaji wa Yanga, basi itawalazimu Simba waende mezani wakamalizane nao.
Orodha ya wachezaji wa Kigeni yaliyoingizwa katika mfumo wa TMS: Farouk Shikalo, Mukoko Tonombe, Michael Sarpong, Tuisila Kisinda, Haruna Niyonzima, Lamine Moro, Yacouba Sogne, Carlinhos Carmo na Bernard Morrison.
HII TAARIFA MNAONAJE?
Logically, hakuna uwezekano wa team kupeleka majina yake ya usajili FIFA au CAF bila kuidhinishwa na TFF.
Na kwa maamuzi aliyoyatoa TFF, there is no way akatoa recommendation ya usajili wenye jina ambalo siyo la mchezaji wa Yanga.
Labda kuna utaratibu mpya.
ilipitishwa wapi? si kamati ilisema yuko.huru akasaini.simbaAlishagapitishwa na hao hao tff ndo maana yanga wanajiamini sana huko fifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio hivyo tu bro Jana tu Mwenyekiti kasema wanaomba wanachama wachange waongeze wachezaji wawili wa kimataifa. Kwa maana hiyo hawajamaliza usajili. Hii Ni njia ya kucheza na akili za Wana Yanga.
wiki zinakatika ila hawajaenda FIFA.ilipitishwa wapi? si kamati ilisema yuko.huru akasaini.simba