Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Wakitembeza bakuli ili wasajili wawili jumla na Morison watakuwa na wachezaji kumi na moja kweli nimeamini yule ni professor wa propaganda full mautopoloSio hivyo tu bro Jana tu Mwenyekiti kasema wanaomba wanachama wachange waongeze wachezaji wawili wa kimataifa. Kwa maana hiyo hawajamaliza usajili. Hii Ni njia ya kucheza na akili za Wana Yanga.
Ndipo nawashangaa mashabiki wanavyodanganywa kirahis, kamati imetoa hukum na yanga wataingiza vp jina lake, maana maamzi ya kamati yanatenguliwa na kamati ya rufaa,sie mashabiki tukiacha kupenda timu tukapenda mpira haitatokea viongozi kutudanganya kitoto hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku viongozi wa yanga watakula bakora live pale jangwani. Hivi kuingiza taarifa za mchezaji wenye tms si mpaka apitishwe na tff tena iwe chini ya tms officer wa tff. Sasa mkataba una shida na hukumu toka katika kamati ilitoka wanawezaje kuingiza hilo jina na details ktk tms?
I stand to be corrected
Unajua hizi kamati za tff ni zinatambulika km mahakama za michezo,hivyo ile hukum iliotolea haiwezi kupingwa na yoyote ata karia hawezi kutengua isipokuwa kamati ya rufaa ndio ina mamlaka hao,simba wataingiza jina lake kwa kupitia hukum iliotolewa,yanga hawawezi kuingiza jina lake coz wameshindwa kesi,labda wakate rufaa kwenye kamatiSasa jamaa inawezekana yuko smart lakini simba kumchezesha itakwaje mbona itakuwa kama ishu ya kubahatisha
Ndipo nawashangaa mashabiki wanavyodanganywa kirahis, kamati imetoa hukum na yanga wataingiza vp jina lake, maana maamzi ya kamati yanatenguliwa na kamati ya rufaa,sie mashabiki tukiacha kupenda timu tukapenda mpira haitatokea viongozi kutudanganya kitoto hivi
Ndugu yang acha kupenda timu penda mpira, kumbuka kesi ya simba na point 3 za kagera ilishia wapi? Zaid ya mashabiki kudangaywaNi kweli BM33 ni mali halali ya wanajangwani, hayo mengine ya Tff ni porojo na kujifurshisha tu. Habari ndiyo hiyo mkuu.
Hukum ya kamati inatenguliwa kwa kushinda rufaa,sasa rufaa haujapeleka na haujashinda unasemaje ni wako,yaan mashabiki wanadanganywa km watt wadogoHapo ndipo ufinyu wa mawazo wa msimu Dr Msolla,unapojidhihirisha walisema wanakata rufaa ktk mahakama ya michezo(CAS).Inakuwaje leo akaliingiza kwenye system ,wakati bado hawajakata rufaaa,au wameamua kuwahadaaa wanachama namashabiki wao wa UtOPoLo?au ndiyo yale Yale aliyosema dj Luc?
Jamaa anawakeraa si kawaidaNendeni FIFA bwana mtarudi na ushindi, ngoja niangalie psg usinichoshe. View attachment 1546263
Walishatuona sie mashabiki km wattSio hivyo tu bro Jana tu Mwenyekiti kasema wanaomba wanachama wachange waongeze wachezaji wawili wa kimataifa. Kwa maana hiyo hawajamaliza usajili. Hii Ni njia ya kucheza na akili za Wana Yanga.
Hapana usajili hauwezi kuingia doa au kusubiri document toka yanga kwa sababu hukum imeshatolewa,ili kuipinga hukum unatakiwa ukate rufaa, MFANO UKISHINDWA KISUTU UNAENDA MAHAKAMA KUU NA UKISHINDWA UKO UNAENDA MAHAKAMA YA RUFAA AMBAPO NDIO MWISHO WA MAAMZI, NDIVYO HIVYO KWA KAMATI IPO KAMATI UKISHINDWA UNAENDA KAMATI YA RUFAA UKISHINDWA UNAENDA FIFA NA UKO UKISHINDWA NDIO UNAENDA CASHivi hakuna document yoyote ya transfer Morison wanayoisubiria Simba toka yanga ili wapeleke kwa TFF na FIFA ?au TFF wanaweza kumaliza juu kwa juu,nina wasiwasi usajili wa simba kuingia doa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jf imejaa watu kama wa fb siku hizi,mtu anapewa utaratibu wa FIFA(Kitu ambacho kinajulikana GT yeyote anaweza kufahamu kwa kufuatilia) ye anakuja kuuliza eti kwani wewe umewahi kufanya kazi FIFA[emoji38] yaan hoja za ki fb kabisaa
Jf imejaa watu kama wa fb siku hizi,mtu anapewa utaratibu wa FIFA(Kitu ambacho kinajulikana GT yeyote anaweza kufahamu kwa kufuatilia) ye anakuja kuuliza eti kwani wewe umewahi kufanya kazi FIFA[emoji38] yaan hoja za ki fb kabisaa
Mpaka wewe mkuu unatoa sauti ya chini hivi, huenda hii ishu ikawa ni serious kuliko wengine tuwazavyo.BM3 anaudhi aisee
Umejua kunifurahisha yaani tatizo Dr msolla anajua kucheza na mindset za wana jangwani, about Morrison game over anazingua tu ngoja siku wakampage bakora pale jangwani akili itamkaa sawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku viongozi wa yanga watakula bakora live pale jangwani. Hivi kuingiza taarifa za mchezaji wenye tms si mpaka apitishwe na tff tena iwe chini ya tms officer wa tff. Sasa mkataba una shida na hukumu toka katika kamati ilitoka wanawezaje kuingiza hilo jina na details ktk tms?
I stand to be corrected
Kwahiyo hapo wanatishia tu?