Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Jamaa kawadanganya mashabiki wa Simba mpaka kafika mwisho anaona aibu sasaAnajua porojo zake zilishashtukiwa.
Wameshatumia propaganda na uongo wote yaani timu ya simba inaongozwa kiujanja ujanja baada ya kichaka cha bodi kufyekwa waliishiwa nguvu zoteTimu nzima inaona aibu