marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Nadhani unajua kabisa anayeangaliwa kuwa ni offside ni yule anayekuwa na mpira au anayepewa pasi.Off side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa
#Tpl
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Tazama vizuri
View attachment 1084096Soka Football Central on Instagram: “Off side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa #Tpl”
4 Likes, 1 Comments - Soka Football Central (@soka_app) on Instagram: “Off side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa #Tpl”www.instagram.com
Ofsode huwa inaangaliwa wakati gani?? ,,mstari wa offside huwa unachorwa wakati gan??Kila mmoja ashinde mechi zake kihalali.
Kajifunze kuandika kwanzaOfsode huwa inaangaliwa walati gani?? ,,mstati was offside huwa unachorwa wakati than??
Offside inakuwa trapped pale padi inapo pigwa... Pale mtoa pasi anapo toa pasi
Hyo picha inaonesha wakati ajibu ana toa passi na eneo aliopo ngassa..... AAliluwa amezidi completely ....tazama hyo video attached utaeleewa
Ikiwa hivyo Simba watakuwa mabingwa mazee.kila mmoja ashinde viporo vyake
Weka video clip sio hizi picha za KuAdobeOff side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa
#Tpl
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Tazama vizuri
View attachment 1084096Soka Football Central on Instagram: “Off side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa #Tpl”
4 Likes, 1 Comments - Soka Football Central (@soka_app) on Instagram: “Off side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa #Tpl”www.instagram.com
Kwa hela ganiHawa kandambili
Wamenunua mechi ile
Ndo maana soka la Bongo haliendelei
Unazijua sheria za offside?Nadhani unajua kabisa anayeangaliwa kuwa ni offside ni yule anayekuwa na mpira au anayepewa pasi.
Mahaba na Mbumbumbu fc yatakuuwa mkuu
Hela za kufanyia ufedhuli hawakosagiKwa hela gani
We unayezijua kuna offside hapo?Unazijua sheria za offside?
Sisi tunataka tuwe hata Wa pili tu ili tucheze CCL. Na hivi ligi yenyewe haina mdhamini haina haja ya kujihangaisha saaaaanaaa!Ikiwa hivyo Simba watakuwa mabingwa mazee.
Vv
Si ni omba omba? Hela ya kununua wamepata wapi wakati wachezaji wana njaa?Hawa kandambili
Wamenunua mechi ile
Ndo maana soka la Bongo haliendelei