Yanga wamepewa tuu lile goli la offside; Uzembe wa waamuzi unaendelea

Yanga wamepewa tuu lile goli la offside; Uzembe wa waamuzi unaendelea

Ofsode huwa inaangaliwa wakati gani?? ,,mstari wa offside huwa unachorwa wakati gan??

Offside inakuwa trapped pale pasi inapo pigwa... Pale mtoa pasi anapo toa pasi

Hyo picha inaonesha wakati ajibu ana toa pass na eneo aliopo ngassa..... Alikua amezidi completely ....tazama hyo video attached utaeleewa
Unaleta mambo ya kitaalamu kishabiki!!! Tazama na niambie;
1.Alipo Ajibu
2.Ulipo mpira
3.Alipo Ngasa.
Kisha ondoa ushabiki uje upya.
 
Ajibu akipiga mpira kwenda kwa Ngasa
Screenshot_20190429-193955.jpeg
 
hapo wangekuwa simba ndo wamepewa hilo goli ungewasikia lawama zao

Inaelekea kelele na malalamiko ya Yanga yanawakera na kuwaumiza sana...ukweli ni kuwa Simba inapendelewa sana hadi inakera....timu ina viporo zaidi ya kumi ..nadhani hakuna ligi ya aina hii kokote duniani isipokuwa Tanzania...Kuwa na viporo ndiyo upendeleo wenyewe ili kumfanya yule mwenye viporo awe na nafasi ya 'kupanga' matokeo...
 
nipe sababu ya kuhairishwa kwa mechi za simba.ambazo unaona wewe sio za msingi
 
Back
Top Bottom