kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Yani refa wa Leo na yule mshika kimbendera upande wa kulia alikua na biase nyingi mno.
Hii mechi ndo nataka nione ka TFF huwa wanafuatilia waamuzi wao au wanasikiliza kelele za watu.
Angalia goli la ngoma refa anapiga filimbi eti Dante alifanyiwa madhabi wakati yeye Dante ndo alikua anafanya kosa
Lazima ujue hilo pia