Yanga wamepewa tuu lile goli la offside; Uzembe wa waamuzi unaendelea


Lazima ujue hilo pia
 

Attachments

  • VID-20190427-WA0005.mp4
    3.1 MB
Pambafff... ushindi ashinde simba akishinda yanga kabebwa! Ungeomba uamuzi wewe ndo uchezeshe hiyo mechi! Pambafff!
 
Yani mechi 1 ununue kwa milioni 3, kwa thamani gani hasa ya kombe linalong'ang'aniwa nakati Makelele FC wana uwezo wa kununua hata klabu nyingine kwa udhamini wa Kanjibai[emoji848][emoji1787]
Timu pekee yenye bajeti ya kununua mechi ni Simba.
Kanjibai katenga fungu la kutosha
 
sawa.endeleeni kulalamika ila mkumbuke mmebakiza mechi 5.simba kabakiza 10.
Ndiyo ujiulize ss jinsi gani ligi yenu ni mbovu kuliko zote duniani, ligi gani iliyowahi kumuachia Mtu viporo mechi zaidi ya 10 duniani? acha kuumiza kichwa wewe, rudi epl unenepe[emoji16]
 
mbona linesman kasimama tu? hajui kazi yake?
 
Maana tunaojua raha ya mpira wenye afya hatuwekezi mioyo yetu hapa bongo ila tupo kinafki ili tuonekane wazalendo.

Anayeshabikia mpira wa magazetini kwa mahaba yote atakuwa katoka mirembe hivi karibuni[emoji3]
Tukiondoa ushabiki wa Usimba na Uyanga,bado afrika tunashida kubwa sana kwenye soka,

Hii nikuanzia kwenye uongozi wake, kuja kwenye uamuzi ndio usiseme na makorokoro mengine mengi tu.

Tuna vitu vingi sana vya kujifunza, nikuhakikishie viongozi na waamuzi ndio wanaofanya soka la afrika halikui. Waamuzi wetu bado sana kufikia vigezo vya kufanya maamuzi sahihi.
 
Ulikuwa wapi siku zote kuwa mkweli kiasi hichi, au uliogopa ban nn[emoji848][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…