Yanga wamepewa tuu lile goli la offside; Uzembe wa waamuzi unaendelea

Unaleta mambo ya kitaalamu kishabiki!!! Tazama na niambie;
1.Alipo Ajibu
2.Ulipo mpira
3.Alipo Ngasa.
Kisha ondoa ushabiki uje upya.
 
hapo wangekuwa simba ndo wamepewa hilo goli ungewasikia lawama zao

Inaelekea kelele na malalamiko ya Yanga yanawakera na kuwaumiza sana...ukweli ni kuwa Simba inapendelewa sana hadi inakera....timu ina viporo zaidi ya kumi ..nadhani hakuna ligi ya aina hii kokote duniani isipokuwa Tanzania...Kuwa na viporo ndiyo upendeleo wenyewe ili kumfanya yule mwenye viporo awe na nafasi ya 'kupanga' matokeo...
 
nipe sababu ya kuhairishwa kwa mechi za simba.ambazo unaona wewe sio za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…