Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
Yani Yanga wanavyolalamika utaweza kusema wao hawajawahi kubebwa hata siku moja. Tena mbaya zaidi wao bila aibu walibebwa kwenye derby.
Ninaamin km ndio Simba angebebwa vile basi hawa Yanga wangeenda CAS. Hilo ni moja kati ya vituko vingi ambavyo Yanga wamefanyiwa na marefa ikiwemo magoli ya mikono dhidi ya Prisons.
Simba walivumilia yote wakafika mwisho wa uvumilivu hadi wakaja na kauli mbiu yao ya Ubaya Ubwela ukifanya Ubaya na mimi nafanya ubaya yaani ukicheat na mimi nacheat 😂
"Kwa ufupi Yanga alishamalizana na timu mbali mbali kupitia gsm ili zimpe matokeo na zimkamie Simba. Kama Yanga alishamalizana na hizo timu basi Simba ameshamalizana na marefa na wote tuseme UBAYA UBWELA"