Yanga wametoka kihalali kabisa

Hauwezi kunishawishi kuwa lile halikuwa goli.

Hiyo picha unayoionesha mpira haukuwa umemalizika wote kwa asilimia 100

Ule mpira wa Azizi Ki ulikuwa upo ndani kwa asilimia 100

Hiyo ndio tofauti
 
No nigoli
 
Wewe umeonaje mkuu wakati hujawekewa camera ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…