Nimeona vizuri sanaWewe umeonaje mkuu wakati hujawekewa camera ya juu
Weka iyo picha tuoneNimeona vizuri sana
Ningekuwa na mashaka na nilichokiona endapo zingekuwa camera za Azam
Acha na amphibian wanahasiraNo nigoli
Naweka video kabisa maana hamkawii kusema picha ni PhotoshopWeka iyo picha tuone
Sawa mkuuWewe ni mpumbavu!!
Afrika ni ujinga tu kila kona!Sawa mkuu
Mkuu unajuwa huwa wanaangalia kwa juu kuona kama mpira umevuka line au laah,
No goal
Kwa hiyo hapo inaonesha vipi kwa wewe jinsi ulivyoona?Mkuu unajuwa huwa wanaangalia kwa juu kuona kama mpira umevuka line au laah,
Hii bado ina utata siwezi kuconclude.
Aisee nnnhuyu refa akafirwee...kmmakr zake..au hakufturu
Ww ni yanga au ni ta.coMimi ni yanga ni kweli lile siyo goli
Hujanielewa naongelea kitu kama hichiKwa hiyo hapo inaonesha vipi kwa wewe jinsi ulivyoona?
Maana sometimes tunaweza kujikuta kwenye mabishano yasiyokuwa na suluhu lakini kumbe mmoja wetu ana matatizo ya macho
Hiyo unaleta pich ya kwenye kitabu, siyo video hya mpira wa goli la Aziz Ki.Hamjambo!!!( utajaza mwenyewe)
Yanga acheni kudanganya watu kuwa mmedhurumiwa goli.
Nakuichafua CAF.
View attachment 2955053View attachment 2955060
Shida huelewi hayo magoli ya hovyo yamefutwa angalia mechi ya spurs vs Luton.Wewe hauna macho
View attachment 2955158
Heshima kwako mkuu...
= dhulumiwa.Hamjambo!!!( utajaza mwenyewe)
Yanga acheni kudanganya watu kuwa mmedhurumiwa goli.
Nakuichafua CAF.
Sasa commentator akishangaa inaharibu nn? Ila wabongo wewe usisikilize amphibian mpira unasomewa Acha na hao watuHiyo unaleta pich ya kwenye kitabu, siyo video hya mpira wa goli la Aziz Ki.
Huo mpira umesharudia mara nyingi kwenye TV ya Bein kwa kutokea angle za juu, kushoto na kulia na kuonekana kuwa lilikuwa ni goli la halali kabisa lilikoataliwa ila katika mazingira haya uamuzi wa refarii ndiyo wa mwisho. In fact comentantor mmoja ameshangaa kuwa ni kwa nini refarii mwenyewe hakuchukua hata hatua ya kwenda kuliangalia kwenye VAR ili kujiridhisha kutokana na tension ya nmchezo ilivyokuwa.
Tulienda kusomea jinsi ya kukukatikia uno= dhulumiwa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ndio mkuu,= dhulumiwa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?