Yanga wametoka kihalali kabisa

Yanga wametoka kihalali kabisa

Mkuu unajuwa huwa wanaangalia kwa juu kuona kama mpira umevuka line au laah,

Hii bado ina utata siwezi kuconclude.
Kwa hiyo hapo inaonesha vipi kwa wewe jinsi ulivyoona?

Maana sometimes tunaweza kujikuta kwenye mabishano yasiyokuwa na suluhu lakini kumbe mmoja wetu ana matatizo ya macho
 
Wewe hauna macho
20240406_002531.jpg
 
Kwa hiyo hapo inaonesha vipi kwa wewe jinsi ulivyoona?

Maana sometimes tunaweza kujikuta kwenye mabishano yasiyokuwa na suluhu lakini kumbe mmoja wetu ana matatizo ya macho
Hujanielewa naongelea kitu kama hichi
IMG-20240406-WA0000.jpg
 
Hamjambo!!!( utajaza mwenyewe)
Yanga acheni kudanganya watu kuwa mmedhurumiwa goli.
Nakuichafua CAF.

View attachment 2955053View attachment 2955060
Hiyo unaleta pich ya kwenye kitabu, siyo video hya mpira wa goli la Aziz Ki.

Huo mpira umesharudia mara nyingi kwenye TV ya Bein kwa kutokea angle za juu, kushoto na kulia na kuonekana kuwa lilikuwa ni goli la halali kabisa lilikoataliwa ila katika mazingira haya uamuzi wa refarii ndiyo wa mwisho. In fact comentantor mmoja ameshangaa kuwa ni kwa nini refarii mwenyewe hakuchukua hata hatua ya kwenda kuliangalia kwenye VAR ili kujiridhisha kutokana na tension ya nmchezo ilivyokuwa.
 
Sasa commentator akishangaa inaharibu nn? Ila wabongo wewe usisikilize amphibian mpira unasomewa Acha na hao watu
 
Back
Top Bottom