Yanga wametoka kihalali kabisa

Yanga wametoka kihalali kabisa

Sasa commentator akishangaa inaharibu nn? Ila wabongo wewe usisikilize amphibian mpira unasomewa Acha na hao watu
Kama hujui; comentantor wa kwenye TV kubwa zote kubwa ni wachezaji waliostaafu na wana leseni za kufundisha mchezo huzika. Usidhani kuwa comentantor wa Bein TV ni mtu wa kuokoteza kama Jemedari n a jeoff leah.
 
Haya ndio maisha Simba amekua akiyaishi siku zote.
amekua akikutana na vizingiti vya kila aina.
 
Kwa comments na upumbavu mnaoamdika humu, Ningekuwa rage ningewatia vidole vya mk........na kuwashika makalio kabisa
 
Kuna mtu kapigwa bao ndani na nje ..hawa ndio wametoka ki halali zaidi
 
Hauwezi kunishawishi kuwa lile halikuwa goli.

Hiyo picha unayoionesha mpira haukuwa umemalizika wote kwa asilimia 100

Ule mpira wa Azizi Ki ulikuwa upo ndani kwa asilimia 100

Hiyo ndio tofauti
Sisi wana simba tunasema lile siyo goli
 
Back
Top Bottom