Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

C wangewachoma sindano wachezaji wao pia kama wanavofanya Simba, wanamfukuza kocha kwanini
 
Yanga hawaamini katika process yaani hawataki kabsa kwenye kusikia kuhusu kufungwa wanajiona wao ni wa kushinda kila siku wanasahau kwamba hakuna kocha hapa duniani ambaye hajawahi kufungwa
 
Sasa itakuaje lile kombe letu la CAF
 
Back cooking spoon
 
Yanga imepoteza mechi moja na droo moja wanatimua makocha mmmh.
Mpira wa nchi hii pasua kichwa.
Mlipeni hela zake aende akale bata kwao sauzi
Kweli, wanataka washide Kila mechi?
 
Kocha alikuwa ana mapungufu mengi! CV yake haikuwa na maajabu yoyote yale!

Binafsi naamini uteuzi wake nao ni kama ulilenga kuiiga simba kwa sababu imemuajiri kocha kutoka Afrika ya Kusini! Huku viongozi wakisahau ya kwamba kwenye hii miaka ya karibuni makocha walio iletea mafanikio Yanga walitokea Kaskazini! Mfano Naredine Nabi na Miroud Hamdi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…