PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Akili za kiccmYanga hawaamini katika process yaani hawataki kabsa kwenye kusikia kuhusu kufungwa wanajiona wao ni wa kushinda kila siku wanasahau kwamba hakuna kocha hapa duniani ambaye hajawahi kufungwa