Yanga wamshambulia kocha Nabi kwa kuvaa jezi ya Simba

Kumbe uchawi upo😅
 
Ukionmtu mtu mtandaoni anajiita fulani simba,au fulani yanga au fulani mwananchi au hata jina la mchezaji wa simbaau yanga km vile Mayele,Okwi usipoteze muda kubishana nae jua huyo ni shabiki maandazi wa hizi timu,tena ni aina ile ya wapumbavu wanaosababisha ccm iendelee kuwa madarakani
 
Kama wanatafuta mchawi anayeisaliti timu kwa kuangalia rangi ya mavazi kuhusisha na Simba

Basi wanze na GSM anayejiita Simba
Simba wa bahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nafurahi UTO wakifarakana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo GSM ni simba? Maana siku zote anavaa kanzu nyeupe, wamwambie aache aanze kuvaa kanzu za kijani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na njanooo woiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…