Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jun 1, 2023 #41 mzabzab said: Watakuchamba mpaka ukome Click to expand... Mimi ndo wanichambe nikome?? Kama mpk leo sijakoma basi siwezi kukoma tena..
mzabzab said: Watakuchamba mpaka ukome Click to expand... Mimi ndo wanichambe nikome?? Kama mpk leo sijakoma basi siwezi kukoma tena..
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jun 1, 2023 #42 Kalpana said: Mimi ndo wanichambe nikome?? Kama mpk leo sijakoma basi siwezi kukoma tena.. Click to expand... Msajili vizuri sasa sio tena msimu ujao yanga bingwa mnaanza toa visingizio
Kalpana said: Mimi ndo wanichambe nikome?? Kama mpk leo sijakoma basi siwezi kukoma tena.. Click to expand... Msajili vizuri sasa sio tena msimu ujao yanga bingwa mnaanza toa visingizio
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 1, 2023 #43 mzabzab said: Dah jamani yanga akikandwa tena sie wazee wa mishangzi gutakoaa burudani tuwaombee yanga washinde tupate raha ya kugegedua mishangazi ya green and yellow Click to expand... Yangaa lazimaa wakandweee tenaaaa, no doubt
mzabzab said: Dah jamani yanga akikandwa tena sie wazee wa mishangzi gutakoaa burudani tuwaombee yanga washinde tupate raha ya kugegedua mishangazi ya green and yellow Click to expand... Yangaa lazimaa wakandweee tenaaaa, no doubt
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jun 1, 2023 #44 cocastic said: Yangaa lazimaa wakandweee tenaaaa, no doubt Click to expand... Kuweni wazalendo jamani mbona mnakuwa hivyo
cocastic said: Yangaa lazimaa wakandweee tenaaaa, no doubt Click to expand... Kuweni wazalendo jamani mbona mnakuwa hivyo
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jun 1, 2023 #45 mzabzab said: Msajili vizuri sasa sio tena msimu ujao yanga bingwa mnaanza toa visingizio Click to expand... Yah ni ukweli..wanaweza wakawa mabingwa mara 3 mfululizo si ndo jadi ya hizi club za jangwani?.
mzabzab said: Msajili vizuri sasa sio tena msimu ujao yanga bingwa mnaanza toa visingizio Click to expand... Yah ni ukweli..wanaweza wakawa mabingwa mara 3 mfululizo si ndo jadi ya hizi club za jangwani?.