John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Hivi Yanga inaukubwa gani, timu hata ushiriki wake kimataifa inashindwa na NamungoHicho kimbaumbau barbra si juzi tu kalikuwa na kesi na ofisa wa tff, kakaomba msamaha?
This time ndio ataujua ukubwa wa yanga ameyakanyaga..
Utauona kupitia kesi hii.Hivi Yanga inaukubwa gani, timu hata ushiriki wake kimataifa inashindwa na Namungo
Ukubwa uwe uwanjani,si porojo!Hicho kimbaumbau barbra si juzi tu kalikuwa na kesi na ofisa wa tff, kakaomba msamaha?
This time ndio ataujua ukubwa wa yanga ameyakanyaga..
Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.Hivi Yanga inaukubwa gani, timu hata ushiriki wake kimataifa inashindwa na Namungo
Hakuna kesi hapo upuuzi tuUtauona kupitia kesi hii.
Ukubwa wake upo katika nini? Na kama Simba ni ya wahindi kwani wahindi hao si wananchi wa Tz?Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.
Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii.
NakaziaBila simba na yanga wengi wangekufa njaa
Wahindi ni Wananchi wa Tanzania! Halafu na India itakuwa ni nchi ya kina nani sasa!Ukubwa wake upo katika nini? Na kama Simba ni ya wahindi kwani wahindi hao si wananchi wa Tz?
Taarifa kamili.Hivi Babra alifanyaje? Huko south africa alisema nini?