Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

Historia inaonyesha simba ndo team yenye wanasheria waliobobea katika fani hiyo manara hachomoki hapo linapelekwa pelekwa tu hakuna kesi hapo simba wameshinda kesi ya Morrison hzo kesi za kitoto haziwasumbui.
 
Alisikika msemaji wa makolo akisema timu pinzani watavuta pumzi ya Moto, hemu naye pia aeleze huo moto pale uwanjani huwa wanauweka wapi hata mpaka timu pinzani ziwe zinavuta pumzi za Moto.
 
Mambo haya TFF wenyewe wanayaendekeza mtu kama Manara muda wote aliojiunga Yanga kazi yake ni kuinanga tu Simba na Simba nao wamemvumilia sana japo inajulika nyuma ya Manara kuna yule Engeneer wao wa mchongo ndio anayemfadhili
Matikiti ya mo kweli wengi hamnazo. Manara alivyokuwa simba alikuwa anaisema vibaya sana Yanga. Lakini Yanga walivyo wakomavu wslimvumilia tu. Nyie kidogo tu mkiguswa na manara mnalialia nchi nzima. Tulieni tu sindano ya manara iwaingie,zamu yenu mbweha nyie
 
Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.
Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii.
Msijifiche kwenye kichaka cha wanainchi,

Ungeijuwa history ya Yanga,
Basi ungevua boxa yako na kuweka usoni,
Ili ujifiche kwa aibu uliyonayo.

Yanga imeanzishwa na makuli wabeba mizigo wa bandarini,,
pamoja na wahuni walala sokoni na stand za mabasi.
 
Ungeijuwa history ya Yanga,
Basi ungevua boxa yako na kuweka usoni,
Ili ujifiche kwa aibu uliyonayo.

Yanga imeanzishwa na makuli wabeba mizigo wa bandarini.
Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake!

Dogo unatakiwa ujitathmini.
 
Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake!

Dogo unatakiwa ujitathmini.
Ko mkuu umechukia kuitwa kuli ? Vumilia tu hivyohivyo. Hili jina "wananchi " mlilivamia tu sababu ya njaa. Kabla ya njaa hatukuwahi kusikia mkijiita wananchi.
 
Ko mkuu umechukia kuitwa kuli ? Vumilia tu hivyohivyo. Hili jina "wananchi " mlilivamia tu sababu ya njaa. Kabla ya njaa hatukuwahi kusikia mkijiita wananchi.
Kwa nini nichukie kuitwa kuli na wakati hiyo kazi inawakilisha wanaume walio kamilika! Hao makuli ndiyo walikuwa wazawa halisi wa nchi hii! Na siyo hao ndugu zenu wa bandia wahindi.
 
Mambo haya TFF wenyewe wanayaendekeza mtu kama Manara muda wote aliojiunga Yanga kazi yake ni kuinanga tu Simba na Simba nao wamemvumilia sana japo inajulika nyuma ya Manara kuna yule Engeneer wao wa mchongo ndio anayemfadhili
Simba ndio mlimuendekeza. Alipokuwa huko alikuwa akiisifia sana Yanga. Huku mkishangilia!!!
Akili zingine!!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Msijifiche kwenye kichaka cha wanainchi,

Ungeijuwa history ya Yanga,
Basi ungevua boxa yako na kuweka usoni,
Ili ujifiche kwa aibu uliyonayo.

Yanga imeanzishwa na makuli wabeba mizigo wa bandarini,,
pamoja na wahuni walala sokoni na stand za mabasi.
Ulichosahau ni kuwa,waanzilishi wa Simba walikuwemo humo humo Yanga. Wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia.

Tatizo walikuwa wabaguzi na kujiona wapo daraja la juu. Hawawezi kuchanganyika na raia wa kawaida.
Kwa ubaguzi wao huo,wakajitenga ndio wakaanzisha Simba. Wakati huo wakiwaita Malkia. Ubaguzi huo Simba haijawahi kuuacha hadi leo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom