Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ukitoa mzee wa Msoga (kwa sababu analindwa na sheria), mashabiki na members wote wa yanga hawana akili.Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.
Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii.
Mbumbumbu katika ubora wake.Ukitoa mzee wa Msoga (kwa sababu analindwa na sheria), mashabiki na members wote wa yanga hawana akili.
NB :
Nimemnukuu Manara 😂😂
Na ndiye msemaji mkuu wa team ya wananchi, utajua mwenyewe waliompa huo usemani ni kunguni au ni viroboto 😀Mbumbumbu katika ubora wake.
Kamutu kamoya kMorison mmekaweka mpaka kwenye jumba la makumbusho yenu kalivowahenyesha ..... ndo muiweze Simba!Utauona kupitia kesi hii.
HujitambuiSasa hapo unamshtaki nani wakati ni huo ni waraka wa Buggati kwa Wazulu. Hiyo inaitwa kujistukia
Manara hakuitaja Simba. Atashinda na alfajiri.
Matikiti ya mo kweli wengi hamnazo. Manara alivyokuwa simba alikuwa anaisema vibaya sana Yanga. Lakini Yanga walivyo wakomavu wslimvumilia tu. Nyie kidogo tu mkiguswa na manara mnalialia nchi nzima. Tulieni tu sindano ya manara iwaingie,zamu yenu mbweha nyieMambo haya TFF wenyewe wanayaendekeza mtu kama Manara muda wote aliojiunga Yanga kazi yake ni kuinanga tu Simba na Simba nao wamemvumilia sana japo inajulika nyuma ya Manara kuna yule Engeneer wao wa mchongo ndio anayemfadhili
Unapomteta mtu husimtaje jina huyo Barabara sijui Babra kakosea sehemu moja tu kuitaja Yanga.
Msijifiche kwenye kichaka cha wanainchi,Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.
Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii.
Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake!Ungeijuwa history ya Yanga,
Basi ungevua boxa yako na kuweka usoni,
Ili ujifiche kwa aibu uliyonayo.
Yanga imeanzishwa na makuli wabeba mizigo wa bandarini.
Unaandika kwa kutumia makali.o badala ya ubongoHivi Yanga inaukubwa gani, timu hata ushiriki wake kimataifa inashindwa na Namungo
Ko mkuu umechukia kuitwa kuli ? Vumilia tu hivyohivyo. Hili jina "wananchi " mlilivamia tu sababu ya njaa. Kabla ya njaa hatukuwahi kusikia mkijiita wananchi.Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake!
Dogo unatakiwa ujitathmini.
Kwa nini nichukie kuitwa kuli na wakati hiyo kazi inawakilisha wanaume walio kamilika! Hao makuli ndiyo walikuwa wazawa halisi wa nchi hii! Na siyo hao ndugu zenu wa bandia wahindi.Ko mkuu umechukia kuitwa kuli ? Vumilia tu hivyohivyo. Hili jina "wananchi " mlilivamia tu sababu ya njaa. Kabla ya njaa hatukuwahi kusikia mkijiita wananchi.
Simba ndio mlimuendekeza. Alipokuwa huko alikuwa akiisifia sana Yanga. Huku mkishangilia!!!Mambo haya TFF wenyewe wanayaendekeza mtu kama Manara muda wote aliojiunga Yanga kazi yake ni kuinanga tu Simba na Simba nao wamemvumilia sana japo inajulika nyuma ya Manara kuna yule Engeneer wao wa mchongo ndio anayemfadhili
Ulichosahau ni kuwa,waanzilishi wa Simba walikuwemo humo humo Yanga. Wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia.Msijifiche kwenye kichaka cha wanainchi,
Ungeijuwa history ya Yanga,
Basi ungevua boxa yako na kuweka usoni,
Ili ujifiche kwa aibu uliyonayo.
Yanga imeanzishwa na makuli wabeba mizigo wa bandarini,,
pamoja na wahuni walala sokoni na stand za mabasi.