kidume coconut
Member
- Jul 5, 2021
- 5
- 5
Mzee Haji Omar Mpili... kama unabisha nguo nyeupe ina kuhususiku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee? mimi binafsi namuona mjanja mjanja tu wa mjini tu
View attachment 1843018
hizi rangi sio zetu[emoji1][emoji1]Haa namuona hapo kwenye picha Mzee Mpili kaanza kutakata.
Kwani huko Utopolo kuna mwenye akili timamu?siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee? mimi binafsi namuona mjanja mjanja tu wa mjini tu
View attachment 1843018