Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

Hebu jaribu kidogo kutofautisha maafa na UCHAFU. Mafuriko si kitu kigeni, na si hapa Tanzania tu, hadi America na Ulaya.

Hii ni California

Sasa hicho kijengo chenu kichafu kama Banda la Njiwa hapo sokoni kwa wauza sidiria kina mfano duniani?
 
Kuna sehemu chafu inayonuka dsm kama mitaa ya jangwani? Hasa ilipo yanga?
Ukipita ile mitaa kama hujafunga vioo lazima uzirai!
Watembea kwa miguu lazima wabane pua...
Kuitwa ndala/vyura ni pamoja na kuwa wachafu...
 
Huna unachoongea wewe

Povu
 
Kuna wakati hii timu ya sokoni ilitaka kushuka daraja, ikabidi FAT ifanye mipango kuinusuru. Ndio haya unayoyaona leo, bila saa 72 Forum, Simba hapandi ndege tena. Mpira wa uwanjani ndio ule uliouona Kaitaba
Unazan nyie mna uwez wa kushnda gem tan wazee nyie?
 
Povu
 
Kuna sehemu chafu inayonuka dsm kama mitaa ya jangwani? Hasa ilipo yanga?
Ukipita ile mitaa kama hujafunga vioo lazima uzirai!
Watembea kwa miguu lazima wabane pua...
Kuitwa ndala/vyura ni pamoja na kuwa wachafu...
Fact
 
Nyie wapumbavu kweli na fikra zenu ni zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…