Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nimeshangaa....kwa sasa Yanga ni kama wameongeza chuki kwa Mo Dewj. Wanamchukia sana. Mpaka kuhoji kama amekabidhi tsh Bilion 20 au bado. Wanafikiri B 20 unakabidhi tu kama unavyokabidhi tsh 50,000 kujitambulisha kwa demu wako.
Simba hatuna waswas na Mo.tunaona anachofanya.tume relax na tunafurahi.tunafaham mchakato unavyoenda.hatuna waswasi.
Kuna watu wanadai Mo anahitaji sana Simba kuliko yenyewe inavyomhitaji. Ni muda gani Simba ilikuwa na hard time kimpira mpaka kukosa ubingwa miaka 3 mfululizo? Walikuwa wapi hao wanaosema hivyo?
Hatuoni wakitoa pesa za usajili au kulipa mishahara.hatuwaoni wakilipia kambi na usafiri. Hawa watu wanatoa wapi ujasiri wa kufoji namna hiyo?
Mo anatoa Bilion 3 kila mwaka. Watu hawasemi mwaka huu usitoe tutatoa sisi.hawasemi. angalia malipo ya wachezaji simba.husikii malalamiko. Wanalipwa posho,mishahara n.k
Leo hii Nyani mmoja naye anajidai ni Simba anadai Mo tapeli. Kama utapeli wa Mo ni huu acha aufanye. Ukitaka na wewe njoo Utapeli. NYIE YANGA MNAPIGA KELELE KAMA NYANI AU MBWA.