Yanga wanahangaika sana kusema Mo hafai na kumpinga kuliko Simba wenyewe

Yanga wanahangaika sana kusema Mo hafai na kumpinga kuliko Simba wenyewe

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nimeshangaa....kwa sasa Yanga ni kama wameongeza chuki kwa Mo Dewj. Wanamchukia sana. Mpaka kuhoji kama amekabidhi tsh Bilion 20 au bado. Wanafikiri B 20 unakabidhi tu kama unavyokabidhi tsh 50,000 kujitambulisha kwa demu wako.

Simba hatuna waswas na Mo.tunaona anachofanya.tume relax na tunafurahi.tunafaham mchakato unavyoenda.hatuna waswasi.

Kuna watu wanadai Mo anahitaji sana Simba kuliko yenyewe inavyomhitaji. Ni muda gani Simba ilikuwa na hard time kimpira mpaka kukosa ubingwa miaka 3 mfululizo? Walikuwa wapi hao wanaosema hivyo?

Hatuoni wakitoa pesa za usajili au kulipa mishahara.hatuwaoni wakilipia kambi na usafiri. Hawa watu wanatoa wapi ujasiri wa kufoji namna hiyo?

Mo anatoa Bilion 3 kila mwaka. Watu hawasemi mwaka huu usitoe tutatoa sisi.hawasemi. angalia malipo ya wachezaji simba.husikii malalamiko. Wanalipwa posho,mishahara n.k

Leo hii Nyani mmoja naye anajidai ni Simba anadai Mo tapeli. Kama utapeli wa Mo ni huu acha aufanye. Ukitaka na wewe njoo Utapeli. NYIE YANGA MNAPIGA KELELE KAMA NYANI AU MBWA.
 
Uto ni kuwaacha tu mpaka ikifika December kishanuka kule na hilo hawajaliona. Na uwepo wa Senzo kule Bumbuli au Nugaz mmoja atafute kazi hasahasa Bumbuli.
 
Hao manyani ni wajinga ,simba wachezaji wanapata mishahara on time ,wanaishi mazingira mazuri ,vikombe vyote mfululizo ,uwanja umejengwa sisi hatulalamiki wanalalamika wao.

Unalalamikiaje hela ambayo ipo kwenye mfuko wa mwenzako na si zako ,walivyo wajinga wamepigwa morison wakajazana jangwani kama wehu ,juzi tena walivyo wehu wakajazana airport wanambeba jamaa kama mfalme ,nyani wajinga sana wanatutia aibu
 
Bumbuli kazi anayo,nungaz yule mto wa GSM hawezi kuropoka
Uto ni kuwaacha tu mpaka ikifika December kishanuka kule na hilo hawajaliona. Na uwepo wa Senzo kule Bumbuli au Nugaz mmoja atafute kazi hasahasa Bumbuli.
 
Nyie mikia mlishakata pumzi kweli, yahani mikia wenzenu wakiohoji ujanja ujanja anaoufanya mudi, mnahanza kuwapakazia kua ni yanga, mbona wananchi hawana habari na nyinyi nyie pambaneni na Mo wenu tu
 
Back
Top Bottom