kweli unafananisha Real Madrid na Simba kwa lipi?Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo
Mkuu nimezungumzia DNA ya mashindano ya kimataifa kwa sasa na itafikia hatua Simba kuikuta nusu fainali au fainali ya klabu bingwa ni swala la kawaida mbeleni. Hiyo DNA inakufanya hata ukiwa na timu inayo struggle mechi za nyumbani lakini nje unaogopewa mnokweli unafananisha Real Madrid na Simba kwa lipi?
Ubora wa timu ni makombe, Simba ana kombe gani zaidi ya Mapinduzi?Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo
Simba ndo amesababisha Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kuwa na heshima na lunyasi huu usimba na uyanga usikutoe ufahamu kiasi hicho achievement sio lazimauchukue kikombe.Ubora wa timu ni makombe, Simba ana kombe gani zaidi ya Mapinduzi?
Wewe ni bwege tuTimu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo
anafananisha dhahabu na mavkweli unafananisha Real Madrid na Simba kwa lipi?
Unadhani RMA wanachukua tu ubingwa bila uwekezaji eti kisa wana DNA haya tuambie hio DNA inauzwa wapiMkuu nimezungumzia DNA ya mashindano ya kimataifa kwa sasa na itafikia hatua Simba kuikuta nusu fainali au fainali ya klabu bingwa ni swala la kawaida mbeleni. Hiyo DNA inakufanya hata ukiwa na timu inayo struggle mechi za nyumbani lakini nje unaogopewa mno
CAF watukutanishe na nyie simba kwenye michuano anayeshinda asonge mbeleUkwel mchungu yanga ina shida Sana inataabika kufunga nafasi za waz kabisa lakn wanapoteza
Game wameishika lakn mabao hakuna kabisa had mda huu ilibid wawe mbele kwa gol s chin ya 5
Wakikutana na timu zenye kujua kutumia nafas hakika kilio kitakuwa kikubwa Sana kwa wanayanga maana wanaamini timu yao imekamilika kila idara lakn tofauti na tunataona hapa uwanjani
Mwalimu anakaz Sana kurekebisha attacking yake nafas kumi wanapata 2
Simba inatoa darasa kwa timu zetu kuwa sio kusajir tu pia dertemination na focus kwa kitu unachokihtaj n muhimu Sana
Mpira siyo kelele mpira uwanjan
Updates
Naona wamefanyia Kaz udhaifu goli 4 sasa
Simba ndio timu iliyo lifedhehesha Taifa Kwa kufanya mambo ya kishirikina Tena ugenini na kupigwa fain.Simba ndo amesababisha Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kuwa na heshima na lunyasi huu usimba na uyanga usikutoe ufahamu kiasi hicho achievement sio lazimauchukue kikombe.
Sawa ila wenye tabia zao huwaga hawa jifichi tena mpaka ugenini ,hawanaga aibu.Wao wanawaza watapata mganga gani wa bei rahisi next mechi na simba sc ili wawafunge nyingi na kikosi anapanga mganga.
Al Ahly haijachukua kombe safari hii,je unataka kusema Yanga ni bora kuliko Al Ahly?Ubora wa timu ni makombe, Simba ana kombe gani zaidi ya Mapinduzi?
Mtu kama wewe si bora ungekua bumunda tuAl Ahly haijachukua kombe safari hii,je unataka kusema Yanga ni bora kuliko Al Ahly?