Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo