Yanga wanakosa DNA ya michuano ya kimataifa

Haya maneno ya kulishwa na wachambuzi ndo tatizo unashindwa hata kulifafanua.
 
Uko sahihi sana hii ni sawa na mentality ya Yanga kwenye NBC
Nahis hili huwa linajengwa na viongozi kabisa kama timu yenu ina watu wanaoamini hayo mashindano yanaogopesha basi mentality yenu itakuwa mbovu daima ndo hao Yanga.
Mashindano ya kimataifa wameyapa kipaumbele no 2
Rejea Kagame tu walivyojitambua ndo wakaanza kuchukua mara kwa mara huku Simba kachukua mara nyingi wakiwa wanamwona.


Simba kimataifa wapo serious kuliko Yanga hili lipo wazi
 
Kuwasha moto uwanjani ukiwa ugenini ndo kuwa na DNA kimataifa
 
Wapo mbali wapi?
 
Mashabiki wa simba punguzeni kuchonga. Timu imeshinda goli 4 kwa 0 mnalalamika! Cha kushangaza timu yenu imeshinda goli 2 tu kwa 0! Tena mpaka mshambuliaji wenu butu kabisa John Bocco eti naye kafunga!!! Sifa kibao! Ina DNA kama Real Madrid!! Sijui bla bla gani!!

Ingefungwa tu mngekuja kulia humu kama watoto wachanga, huku mkimkataa kocha wenu Matola na CEO wake Barbara!

Sisi mashabiki wa Yanga tuna imani na timu yetu! Na hatujawatuma kutusemea. Tafadhalini sana jadilini ya kwenu. Yale ya kwetu tuachieni wenyewe.
 
Bado mkuu huwez kuweka Real Madrid na Simba kwny sentensi moja ni dharau.. Yan kwnz unayemzungumzia hana hata kombe la Caf champions au confederation iyo DNA ss inatoka wap had uwaweke sentensi moja na Madird.
 
Hawa jamaa ugonjwa wao ni kufungwa, au kutoa sare! Hakika Ismail Aden Rage was a genius. Maana alichagua kuwaambia ukweli.

Hakutaka kuwa mnafiki kama hawa viongozi wao wa sasa. Wenyewe washinde tu, basi! Wadanganye upendavyo! Wala hawana shida. Huji kuwasikia wakiuliza zilipo bilioni 20 hewa za mwekezaji! Muhimu tu timu yao ishinde! Wataifananisha na Real Madrid, Bayern Munich!

Watajiweka kwenye kundi moja na Al Ahly, nk. Wakifungwa tu, kelele mji mzima. Hatumtaki Matola, hatumtaki Barbara!!
 
Simba ukimataifa wake ni hapa hapa nyumbani kama mbwa koko anabweka akiwa kwao.
Amechukua Kagame mara 6 hajawahi kuchukua nje ya mipaka ya Tanzania tofauti na hao unaowaponda wamechukua mara 5 mara 2 nje ya Tanzania kwa kumfunga mwenyeji kwenye fainali.
 
kweli unafananisha Real Madrid na Simba kwa lipi?
Nadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
 
Sio "unaogopewa" neno sahihi ni unaogopwa.
 
🤣🤣🤣🤣 Ila hii Nchi hii watu hawako serious kabisa eti "rungu la CAF litatua utosini"
 
Nadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
Team mbovu🙄🙄 !! Unaweza kuthibitisha kwa kutuambia Real Madrid mbovu iliochukua UCl au mnaongea TU kwa mitazamo yenu ya nje
 
MAKOLO NI MAKOLO TU

Kwani ninyi mmewahi kufanya nini kimayaifa zaidi ya kuroga pale S.A?

Hamna mafanikio yoyote kimataifa huwa mnaenda kusindikiza wenzenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlivyo mambumbumbu mnajifananisha na Al Ahly Kwa sababu Tu ya kumfunga kwa Mkapa tena kwa ndumba .Mnapata ujasiri kujifananisha na timu iliyobeba makombe ya Afrika zaidi ya mara nane ? Sasa hata hao TP Mazembe wenyewe hawana kiburi hicho mlichokuwa nacho 😝😝
 
Ushabiki kazi Sana jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…