ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mtu kama wewe si bora ungekua bumunda tuAl Ahly haijachukua kombe safari hii,je unataka kusema Yanga ni bora kuliko Al Ahly?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama wewe si bora ungekua bumunda tuAl Ahly haijachukua kombe safari hii,je unataka kusema Yanga ni bora kuliko Al Ahly?
ImbecileMtu kama wewe si bora ungekua bumunda tu
Uko sahihi sana hii ni sawa na mentality ya Yanga kwenye NBCMkuu nimezungumzia DNA ya mashindano ya kimataifa kwa sasa na itafikia hatua Simba kuikuta nusu fainali au fainali ya klabu bingwa ni swala la kawaida mbeleni. Hiyo DNA inakufanya hata ukiwa na timu inayo struggle mechi za nyumbani lakini nje unaogopewa mno
Kuwasha moto uwanjani ukiwa ugenini ndo kuwa na DNA kimataifaTimu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo mnalowaza??? PoleeeeehCAF watukutanishe na nyie simba kwenye michuano anayeshinda asonge mbele
Wapo mbali wapi?Uko sahihi sana hii ni sawa na mentality ya Yanga kwenye NBC
Nahis hili huwa linajengwa na viongozi kabisa kama timu yenu ina watu wanaoamini hayo mashindano yanaogopesha basi mentality yenu itakuwa mbovu daima ndo hao Yanga.
Mashindano ya kimataifa wameyapa kipaumbele no 2
Rejea Kagame tu walivyojitambua ndo wakaanza kuchukua mara kwa mara huku Simba kachukua mara nyingi wakiwa wanamwona.
Simba kimataifa wapo serious kuliko Yanga hili lipo wazi
Mashabiki wa simba punguzeni kuchonga. Timu imeshinda goli 4 kwa 0 mnalalamika! Cha kushangaza timu yenu imeshinda goli 2 tu kwa 0! Tena mpaka mshambuliaji wenu butu kabisa John Bocco eti naye kafunga!!! Sifa kibao! Ina DNA kama Real Madrid!! Sijui bla bla gani!!Mkuu nimezungumzia DNA ya mashindano ya kimataifa kwa sasa na itafikia hatua Simba kuikuta nusu fainali au fainali ya klabu bingwa ni swala la kawaida mbeleni. Hiyo DNA inakufanya hata ukiwa na timu inayo struggle mechi za nyumbani lakini nje unaogopewa mno
Bado mkuu huwez kuweka Real Madrid na Simba kwny sentensi moja ni dharau.. Yan kwnz unayemzungumzia hana hata kombe la Caf champions au confederation iyo DNA ss inatoka wap had uwaweke sentensi moja na Madird.Mkuu nimezungumzia DNA ya mashindano ya kimataifa kwa sasa na itafikia hatua Simba kuikuta nusu fainali au fainali ya klabu bingwa ni swala la kawaida mbeleni. Hiyo DNA inakufanya hata ukiwa na timu inayo struggle mechi za nyumbani lakini nje unaogopewa mno
Hawa jamaa ugonjwa wao ni kufungwa, au kutoa sare! Hakika Ismail Aden Rage was a genius. Maana alichagua kuwaambia ukweli.Wenye DNA baada ya kuitafuta draw kwa torch tena kwa kuchomoa,tuliwasikia.
Mara oohh.
Timu hamna.......wachezaji hawajitumi........Matola aende hatumtaki........?
Vip leo.
Timu mnayo au bado hamna?
Matola abaki au aende?
Au timu hamna ila DNA mnayo?
Simba ukimataifa wake ni hapa hapa nyumbani kama mbwa koko anabweka akiwa kwao.Uko sahihi sana hii ni sawa na mentality ya Yanga kwenye NBC
Nahis hili huwa linajengwa na viongozi kabisa kama timu yenu ina watu wanaoamini hayo mashindano yanaogopesha basi mentality yenu itakuwa mbovu daima ndo hao Yanga.
Mashindano ya kimataifa wameyapa kipaumbele no 2
Rejea Kagame tu walivyojitambua ndo wakaanza kuchukua mara kwa mara huku Simba kachukua mara nyingi wakiwa wanamwona.
Simba kimataifa wapo serious kuliko Yanga hili lipo wazi
Nadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?kweli unafananisha Real Madrid na Simba kwa lipi?
Sio "unaogopewa" neno sahihi ni unaogopwa.Mkuu nimezungumzia DNA ya mashindano ya kimataifa kwa sasa na itafikia hatua Simba kuikuta nusu fainali au fainali ya klabu bingwa ni swala la kawaida mbeleni. Hiyo DNA inakufanya hata ukiwa na timu inayo struggle mechi za nyumbani lakini nje unaogopewa mno
🤣🤣🤣🤣 Ila hii Nchi hii watu hawako serious kabisa eti "rungu la CAF litatua utosini"Simba ndio timu iliyo lifedhehesha Taifa Kwa kufanya mambo ya kishirikina Tena ugenini na kupigwa fain.
Caf wamesha pokea malalamiko mengi juu ya vitendo vya kishirikina vinavyo husisha klabu ya Simba.
Endapo mtaendelea na tabia izo safarihii Rungu la Caf litatua utosini na kuleta madhara makubwa Kwa mbumbumbu fc.
Team mbovu🙄🙄 !! Unaweza kuthibitisha kwa kutuambia Real Madrid mbovu iliochukua UCl au mnaongea TU kwa mitazamo yenu ya njeNadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenye DNA baada ya kuitafuta draw kwa torch tena kwa kuchomoa,tuliwasikia.
Mara oohh.
Timu hamna.......wachezaji hawajitumi........Matola aende hatumtaki........?
Vip leo.
Timu mnayo au bado hamna?
Matola abaki au aende?
Au timu hamna ila DNA mnayo?
Ushabiki kazi Sana jamanTimu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo