Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.

kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1)

1735487694014.png

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
 
ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, Makocha hawaoneshi kuumia.

Ndio maana ligi ya kimataifa Yanga wameambulia pointi 1 kwenye mechi tatu, hakuna muujiza wa kupita makundi.
Wewe ulipomfunga fountain gate zile goli 4 na Tabora zile goli 3 mbona atukuona makocha wao wanaumia? Leo hii ndio umeona makocha awaumii? Wakati mnawafunga wachezaji wao walikuwa wanakaba isipokuwa dhidi ya yanga awakabi!!!
Mbumbumbu ni kansa nyingine ndani ya hii NCHI!
 
Sikutarajia kama hiki kipigo cha 5 kwa fountain gate kitawaumiza makolo kwa kiwango hiki.

Poleni sana mtazoea tu.
Hicho si kipigo ni makubaliano. Hii tff bure kabisa, kama wanajifanya hawaoni basi ni wehu
 
Kumbuka Yanga alifungwa nyumbani na Al Hilal, Uarabuni akafungwa, Congo alidraw kwa taabu sana

Unategemea miujiza ipi 😂😂
Yanga iliyofungwa na Azam,Tabora,Al hilal na Mc alger na kudraw na Mazembe na Yanga hii ya mechi 4 nyuma ni Yanga mbili tofauti.

Ukiziangalia kwa jicho la mpira utaona utofuti huo.

Ila ukiziangalia kwa jicho la Rage hautoona huo utofauti.
 
Wewe ulipomfunga fountain gate zile goli 4 na Tabora zile goli 3 mbona atukuona makocha wao wanaumia? Leo hii ndio umeona makocha awaumii? Wakati mnawafunga wachezaji wao walikuwa wanakaba isipokuwa dhidi ya yanga awakabi!!!
Mbumbumbu ni kansa nyingine ndani ya hii NCHI!
Nasema hivi, kocha wa yanga anadanganywa, asije akaamini anapata matokeo na akaridhika, wenzake wanamtengenezea mtelemko nje ya uwanja, kaka stuka.
 
Back
Top Bottom