Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Kama Unaona Fountain Gate Kufungwa Goli Tano Wameonewa,Letee Wewe Timu Yako
View attachment 3187998
1000213805.jpg
timu yangu hii
1000213804.jpg
 
Yanga iliyofungwa na Azam,Tabora,Al hilal na Mc alger na kudraw na Mazembe na Yanga hii ya mechi 4 nyuma ni Yanga mbili tofauti.

Ukiziangalia kwa jicho la mpira utaona utofuti huo.

Ila ukiziangalia kwa jicho la Rage hautoona huo utofauti.
Bila sindano mwiko nyuma weupe kama toilet paper
 
Back
Top Bottom