Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

Kimataifa vp ??
Nioneshe timu yenye picha kama hii zaidi ya Yanga
images%20(7).jpg
 
Wangeluwa hawajawahi kuwafunge wengine 5 hapo kweli, watu wasichukie hati moliki ya kufungwa na Yanga 5 ni haki yao
 
ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.

kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1)

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
Bado hujasema! Timu yako imefungwa mara 4 mfululizo! Na yenyewe ilikuwa haikabi? Ilipanga matokeo?

Mechi ya mwisho Yanga ilishinda 1-0, huku Kijili akijifunga! Una maoni gani? Bahasha zilitembea?
 
Moto mmeshindwa kupelekea azam
Tabora united
Al hilal na mc alger uhangaike na mimi ambae sio saizi yako we kweli MWIKO NYUMA
Wewe na Azam si ulibebwa na goli zote za offside. Kwani wewe nani alikupelekea moto msimu huu kila kibonde na mbabe wake, we subiria nikugonge kwa mara nyingine ya tano.

Mimi kweli sio saizi yako ndio maana upo confederation kombe la akina mama ( kwa mujibu wa Kaduguda) mimi nipo Championship.
 
Kombe la akina mama uliveshwa shanga ukaipeleka ikulu na mpaka leo unashinda nayo maungoni pako na kujisifia nna shanga ya shirikisho Mapovu mengi chomoa kwanza huo mwiko huko nyuma halafu tuongee
 
Aliyesema kiongozi wako Kaduguda so kwa hiyo huko mnacheza huku mnavaa shanga.

Hatufanani kama ulivyo sema level mbili tofauti.Sasa nani ana povu wewe hujiamini na hiyo nafasi uliyo tushikia mwanaume nipo nyuma yako na kupelekea moto nakuja kaza kiuno hiko.
 
Aliyesema kiongozi wako Kaduguda so kwa hiyo huko mnacheza huku mnavaa shanga.

Hatufani kama ulivyo sema level mbili tofauti.Sasa nani ana povu wewe hujiamini na hiyo nafasi uliyo tushikia ndio mwanaume nipo nyuma yako na kupelekea moto nakuja.
Kwani hukufika fainali ukapewa zawadi ya shanga wewe ukaepeleka mpaka ikulu naona umeumia sana kufika mashindano ya wanawake na kuzawadiwa shanga 🤣
Huko champions league unapoint ngapi na magoli mangapi mpaka sasa
Moto umepelekewa na tabora united mpaka ukafukuza kocha tulia wewe mwiko nyuma usiteseke sana mwiko wako utakuchana
 
Kumbe ushakubaluana na kuongozi wenu ni mashindano ya wanawake so ni sawa na kusema mmepeleka timu ya kike shirikisho.

Wanaume tupo championship tunapambana kwani nafasi tunayo, vip ww huko kwa wakina mama ushafuzu?
 
Championship una point ngapi na msimamo wa kundi lenu ukoje 🤣
 
Back
Top Bottom