Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi naona mgawanyo ungekua sawa ili ligi iwe na ushindani
zaidi