Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Tate Mkuu,Yanga itarudi vipi na kombe, na wakati imetolewa na SBS, baada ya kutoka sare! Wakurudi na kombe ni Azam, SBS, au Namungo! Nje ya hapo litabaki na Mlandege huko huko Zanzibar.
Hivyo uache nongwa.
Kombe dogo sana hatulihitajiTate Mkuu,
Simba hawalitaki hili kombe?
Simba watajutia sana maamuzi yao ya kupeleka timu B kama Yanga kwenye hayo mashindano. Wenzao Azam na Singida Big Stars walisoma alama za nyakati.Tate Mkuu,
Simba hawalitaki hili kombe?
Kolo siku nyingi sana hajatupiga. Siku akiamka vzr siku hiyo tutalia sana.Simba watajutia sana maamuzi yao ya kupeleka timu B kama Yanga kwenye hayo mashindano. Wenzao Azam na Singida Big Stars walisoma alama za nyakati.
Maana wanatambua fuka huku kwenye Ligi, na pia shirikisho; hawana chao.
Ee mghoshSimba watajutia sana maamuzi yao ya kupeleka timu B kama Yanga kwenye hayo mashindano. Wenzao Azam na Singida Big Stars walisoma alama za nyakati.
Maana wanatambua fuka huku kwenye Ligi, na pia shirikisho; hawana chao.
Sizitaki mbichi hizi.