Yanga wanarudi lini na kombe la mapinduzi?

Haikuwa target yetu
tanfootball-20230106-0001.jpg
 
Yanga itarudi vipi na kombe, na wakati imetolewa na SBS, baada ya kutoka sare! Wakurudi na kombe ni Azam, SBS, au Namungo! Nje ya hapo litabaki na Mlandege huko huko Zanzibar.

Hivyo uache nongwa.
 
Tate Mkuu,
Simba hawalitaki hili kombe?
Simba watajutia sana maamuzi yao ya kupeleka timu B kama Yanga kwenye hayo mashindano. Wenzao Azam na Singida Big Stars walisoma alama za nyakati.

Maana wanatambua fuka huku kwenye Ligi, na pia shirikisho; hawana chao.
 
Kolo siku nyingi sana hajatupiga. Siku akiamka vzr siku hiyo tutalia sana.
 
Simba watajutia sana maamuzi yao ya kupeleka timu B kama Yanga kwenye hayo mashindano. Wenzao Azam na Singida Big Stars walisoma alama za nyakati.

Maana wanatambua fuka huku kwenye Ligi, na pia shirikisho; hawana chao.
Ee mghosh
 
Back
Top Bottom