Yanga wanasema app yao iliingiza milioni 100. Iliwezekanaje?

Yanga wanasema app yao iliingiza milioni 100. Iliwezekanaje?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k.

Waliwezajekuingiza pesa hizo?
 
App yao ukitaka kupata habari unalipia 2000/= kwa mwezi kwahiyo zidisha tu idadi na bei jibu utapata
Ahaaaa, sikujua hilo. Ni mpango mzuri sana na namna nzuri ya kuchangia timu kuliko hata kupitisha bakuli.
 
Back
Top Bottom