Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni tatizo Zahera alitoboa siri zote. Ni shabiki maandazi pekee ndiye anaeweza kubisha ukweli huu.
Ni juzi tu hapa GSM kawasadia kulipa mishahara na madeni kadhaa ya wachezaji. Ghafla wameanza majigambo yale yale ya miezi 6 iliyopita. Wanajitapa sn wkt fedha za Dante hadi leo wameshindwa kulipa. Kwa sasa Yanga haiwezi kushindana na mtani wake kila hali wala hawawezi kushindana hata na Azam.
Nazani Yanga wanashindana na historia yao wenywe. Wanashindana na Yanga ya Manji iliyokuwa na pesa nyingi bila malengo. Picha za Manji zilizopo ukutani pale jangwani ndizo wanazoshindana nazo na si Simba wala Azam za sasa.
Ukiwa maskini ni bora kuonyesha sura ya unyonge ili wenye nacho wakuonee huruma vinginevyo utakula ujeuri yako.
Matajiri wenye pesa zao wakiona mbwe mbwe za Yanga wanaahirisha kuweka pesa zao.
Time is the right judge tukutane tarehe 4
Sent using
Jamii Forums mobile app