Yanga wanashindana na nani?

Yanga wanashindana na nani?

Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni tatizo Zahera alitoboa siri zote. Ni shabiki maandazi pekee ndiye anaeweza kubisha ukweli huu.

Ni juzi tu hapa GSM kawasadia kulipa mishahara na madeni kadhaa ya wachezaji. Ghafla wameanza majigambo yale yale ya miezi 6 iliyopita. Wanajitapa sn wkt fedha za Dante hadi leo wameshindwa kulipa. Kwa sasa Yanga haiwezi kushindana na mtani wake kila hali wala hawawezi kushindana hata na Azam.

Nazani Yanga wanashindana na historia yao wenywe. Wanashindana na Yanga ya Manji iliyokuwa na pesa nyingi bila malengo. Picha za Manji zilizopo ukutani pale jangwani ndizo wanazoshindana nazo na si Simba wala Azam za sasa.

Ukiwa maskini ni bora kuonyesha sura ya unyonge ili wenye nacho wakuonee huruma vinginevyo utakula ujeuri yako.

Matajiri wenye pesa zao wakiona mbwe mbwe za Yanga wanaahirisha kuweka pesa zao.

Time is the right judge tukutane tarehe 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnahangaika sana,angalia timu yenu mkuu
 
Kwer kabsaa mfano hao wanaotamba na hela za bure za mwarabu wa G.S.M, wanachokitafuta kwa huyo mwanaume watakipata ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unamaanisha MO kuna watu wamekipata kutokana na kutoa hela zake?
 
Gharib anakuja kuwa mwekezaji soon hizo rasharasha May 2020
 
Kwa hiyo pesa za GSM ni za kwenu? Yanga kwa wivu kama mwanamke alieolewa matala kitu apate yeye akipata mwenzake ananuna.Mlipokuwa mnajivuna na pesa za manji zilikuwa zenu?
Halafu mbutembute watu wa ajabu sana wakati wakiidhihaki Simba kuhusu Mo,msemaji wao sijui mhamasishaji Hadija kopa anasema timu wampe GSM huku hawa malaya wengine wanajifanya kuisema Simba.Inataka kwanza ujitoe akili ndio uwe shabiki mzuri wa yanga.
Tukutane tarehe 04.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana vipaji ila hawajajingundua tu, boss unafaa kuimba taarabu, haki ya Mungu ukienda huko unatobowa
 
Du
Yanga haina wa kushindana naye Tanzania kwa sasa.
Inajaribu kushindana na historical champions katika nchi nyingine.
Du nchi nyingine kwa mpira gani huu wa kutolewa raundi ya pili? Yanga haitaweza kuivunja rekodi ya Simba kimataifa,endeleeni kutembeza bakuli kama Ndanda FC ndio saizi yenu kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni tatizo Zahera alitoboa siri zote. Ni shabiki maandazi pekee ndiye anaeweza kubisha ukweli huu.

Ni juzi tu hapa GSM kawasadia kulipa mishahara na madeni kadhaa ya wachezaji. Ghafla wameanza majigambo yale yale ya miezi 6 iliyopita. Wanajitapa sn wkt fedha za Dante hadi leo wameshindwa kulipa. Kwa sasa Yanga haiwezi kushindana na mtani wake kila hali wala hawawezi kushindana hata na Azam.

Nazani Yanga wanashindana na historia yao wenywe. Wanashindana na Yanga ya Manji iliyokuwa na pesa nyingi bila malengo. Picha za Manji zilizopo ukutani pale jangwani ndizo wanazoshindana nazo na si Simba wala Azam za sasa.

Ukiwa maskini ni bora kuonyesha sura ya unyonge ili wenye nacho wakuonee huruma vinginevyo utakula ujeuri yako.

Matajiri wenye pesa zao wakiona mbwe mbwe za Yanga wanaahirisha kuweka pesa zao.

Time is the right judge tukutane tarehe 4

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulipoandika nazani baadala ya 'nadhani' inaonesha wewe ni mtu wa kiwango gani ...binafsi sina haja ya kupoteza nguvu kuijibu hoja hii mfilisi
 
DuDu nchi nyingine kwa mpira gani huu wa kutolewa raundi ya pili? Yanga haitaweza kuivunja rekodi ya Simba kimataifa,endeleeni kutembeza bakuli kama Ndanda FC ndio saizi yenu kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Record ya kuchukua kombe lipi kimataifa? Second best is nothing. Almost a man is nothing.
 
Back
Top Bottom