Yanga wanatoa supu kwa upendeleo~alex ngeleza

Yanga wanatoa supu kwa upendeleo~alex ngeleza

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Mchambuzi Alex Ngereza asema Yanga wanatoa Supu kwa upendeleo, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️

"Yanga wanatoa supu kwa upendeleo,haiwezekani kila mwaka zinatolewa kwa watu wa dar peke yao,wanatakiwa kupewa pia watu wa mikoani kwa kwenda kufanya huko ili kuonyesha ushirikiano kwa wanachama wengine" Alex Ngereza
 
Dume zima linalilia supu ya sadaka.

Ukaona kuandika Insta haitoshi, ukaamua uje na ID mpya JF kulalamikia kukosa supu ya sadaka.

Nitumie namba yako nikuwezeshe cha teni ukanunue nusu kilo ya nyama na viungo upike supu yako mwenye nyumbani. Tena haina manuizo ya kafara😀😀😀
 
Japo mimi sio yanga ila uyo bwege anatakiwa atambue Dsm imebeba watu wa mikoa yote na dini zote so hao watawakilisha mikoa yao kwa kunywa iyo supu ya kafara.
 
Itafika, sisi tunatoa hadi kwa madunduka...
Screenshot_20250627_133055_Google.jpg
 
Huyu jamqa mwenye tishet ya simba ni wa mtaani kwetu. Kitambo sana alisepa kukimbilia dar akawacha familia huku.
Mi ndo maana nachukia Mafoto, ona sasa dunia nzima inajua mwamba alienda kudowea supu
My friend Bangida za masiku kwanza nasisi tumepoteana sana. Kakimbia familia, kaja kuibukia kwenye supu, familia watakuwa walishamuona kuwa yuko mzima wa afya na mdoea supu 😅😅😅😅😅😅
 
My friend Bangida za masiku kwanza nasisi tumepoteana sana. Kakimbia familia, kaja kuibukia kwenye supu, familia watakuwa walishamuona kuwa yuko mzima wa afya na mdoea supu 😅😅😅😅😅😅
Ni mori haina wori tam ka mtori.
Huku familia inajipambania, yaliyoitokea hyo familia ni aibu hata kusema huku mtandaoni.
 
Niulize sii kwa ubaya hizo supu ni mnagawiwa mmekaa ni foleni na kila mtu atapata ? 🤔
 
Back
Top Bottom