Itafika, sisi tunatoa hadi kwa madunduka...View attachment 3385631
My friend Bangida za masiku kwanza nasisi tumepoteana sana. Kakimbia familia, kaja kuibukia kwenye supu, familia watakuwa walishamuona kuwa yuko mzima wa afya na mdoea supu 😅😅😅😅😅😅Huyu jamqa mwenye tishet ya simba ni wa mtaani kwetu. Kitambo sana alisepa kukimbilia dar akawacha familia huku.
Mi ndo maana nachukia Mafoto, ona sasa dunia nzima inajua mwamba alienda kudowea supu
Ni mori haina wori tam ka mtori.My friend Bangida za masiku kwanza nasisi tumepoteana sana. Kakimbia familia, kaja kuibukia kwenye supu, familia watakuwa walishamuona kuwa yuko mzima wa afya na mdoea supu 😅😅😅😅😅😅