Yanga wanavunja sheria/kanuni hii. Na TFF/Bodi ya Ligi wako kimya tu

Huwa natumia kauli moja tu Kwa watu kama wewe; "Kuna watu mnasababisha mashabiki wa Simba waonekane Mbumbumbu". Yaani hili la kugawa jezi nalo kwako ni nongwa?
Soma uelewe kwanza acha kukurupuka. Issue sio kugawa jezi issue ni kutoka nje ya uwanja baada ya taratibu za mechi kukamilika ikiwepo kukaguliwa na kuline up.
 
Soma uelewe kwanza acha kukurupuka. Issue sio kugawa jezi issue ni kutoka nje ya uwanja baada ya taratibu za mechi kukamilika ikiwepo kukaguliwa na kuline up.
Weka hicho kifungu kinachokataza
 
naomba kifungu cha hiyo sheria nifanye marejeo
 
Wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…