adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
- Thread starter
- #21
Soma uelewe kwanza acha kukurupuka. Issue sio kugawa jezi issue ni kutoka nje ya uwanja baada ya taratibu za mechi kukamilika ikiwepo kukaguliwa na kuline up.Huwa natumia kauli moja tu Kwa watu kama wewe; "Kuna watu mnasababisha mashabiki wa Simba waonekane Mbumbumbu". Yaani hili la kugawa jezi nalo kwako ni nongwa?