Yanga waomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar

Yanga waomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar

Wajeeeeeeeeeeeeeee,Zanzibarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Ole wenu TFF mlibanie hili
Mkibana tunatibua issue ya Ruzuku
Najua malinzi ni Member humu,badili katika watu waje kucheza huku

Angalau wasioijua Zanzibar watakuja na kufanya Utalii wa Ndani uongezeke.

NB:Makampuni ya Utalii muda wenu Huu na Zanzibar Commission for Tourism
Sio mkae kazi wazungu tuuuuuuuu,kisa wazawa kipato kidogo.Tuwekewe heshima wajameni
Tangazeni promo kadhaa na tumieni fursa ya uwepo wa Yanga hapa,sio lazima malazi,mnaweza kuandaa Gourps sharing Trips kadhaa kama
-Dolphin Trip Tour
-Sunset Dhow Cruise
-Prison Island Trip
-Historical Guided Stonetown Tour
-Safari Blue Adventure
-Sand Picnic Trip
-Spice Tour
nk
Hapa mnaweze kutumia sharing services yakatoka Ma Coach yale na Coasters watu wakapiga trip kwa bei chee kabisa na Serikali ikapata mapato na wananchi wakapata Mapato.
Sasa mwisho wa Siku mtu akitembea anakuwa ni balozi,akirudi anamuambia mweingine aje,sasa kila siku watu watakuwa wanaongezeka na mwisho wa siku watakuwa wanakuja bila hata ya Kuwa na Mechi.

Mkishindwa nitaitumia fursa hii,ila sitaki Majungu,maana mwanzo watu watakuona kama Chizi,ukianza kupata mafanikio majungu yanaanza.Maana tunajuana

 
Aisee.Bravoooooooooooooooo
Yanga oyeeeeeeeeeeee,aisee nimefurahi saana kusikia habari hii
Itasaidia yafuatayo

a)Uchumi wa Zanzibar
Hapa kuna Drivers wa Taxis,Vi Guest,Mamalishe,pia wauzaji wa vifaa
vya Electonic almaarufu used,hapa ndio kwao
Na Pia ZFA,wanaweza kupata pesa ya Mapato kwa kuendeleza Ligi ya Hapa.

b)Hamasa kwa Wachezaji wachanga wenye Ndoto Kubwa

c)Heshima kwa Mashabiki Lukuki wa Yanga waliopo Zanzibar

d)Heshim kwa Mama Karume,muasisi

f)Kubwa Zaidi,italeta urafiki na ukaribu baina ya mashabiki,na matawi ya Dar na Zanzibar

Nawapongeza sana Yanga kwa Hili,na lingekuwa linafanyika Mwaka Dar na Mwaka Zanzibar.

Mie ni Shabiki wa AZAM FC,ila napenda sana kuona Jambo Chanya kwa Team yoyote kwenye Michezo.

Kanuni:
Kuna mdau amesema kwamba Kanuni haziruhusu kucheza nje ya Tanzania Bara.Ajiulize kwamba the same Kanuni ipo kwamba Team za Taifa zicheze kwenye Nchi zao kwenye Mashindao ya Kimataifa
Sasa kuna Nchi kama Iraq na nyingine ni kwamba wamewahi kucheza Mechi nje ya Nchi yao.Sasa tusikariri,tujue na kuchambua

Jokes:
-Zanzibar hatuna viti,uwanja una Zege,sasa labda mtupiane viatu.Na ni rahisi sana kumjua mhalifu,ukiharibu tunakufuata

-Mashabiki Mje na Madem zenu kutoka Dar,la sivyo mtakuja Single na Kurudi Couple(Mke na Mume),ukikimbia unapigwa mshipa mwenyewe utarudi kuchukua Mkeo wa dharura

KARIBUNI SANA ZANZIBAR YOUNG AFRICA,
Hahahah Mkuu wasisitizie Mikia fc ing'oe viti kwa bidii sana. Yamkini Yanga itahamishia makazi huko huko.
 

Orlando pirates & Kaiser Chiefs zina miaka kama ya Simba na Yanga.....

Jiulize zina viwanja vyao? Au unadhani kujenga kiwanja ni sawa na kujenga Choo?

Orlando pirates & Kaiser Chiefs zina miaka kama ya Simba na Yanga.....

Jiulize zina viwanja vyao? Au unadhani kujenga kiwanja ni sawa na kujenga Choo?
Unatoa mifano tofauti kwa sababu hujui kitu SA viwanja vingu vilijengwa 1960 na vinamilikiwa na City kwa kushirikiana na benk City wanahitaji kupata mapato kutoka kwenye viwanja ndio maana hawaviuzi na hawatoi vibali kujenga viwanja kwa Timu yeyote ili Timu zitumie viwanja vya Jiji mshahara wa mchezaji wa keizer au orlando ni Rand 400,000 mpaka 450,000 pato la mchezaji bila bonus au man of the match kwa mwaka mchezaji mmoja anapata 800,000,000 za kitanzania..Uwanja SA sio dili kila township ina kiwanja au garden nzuri Viwanja ni vingi kuliko wachezaji wenyewe..,
 
lili wayne SA viwanja vyote au garden zinamilikiwa na City ili na wao wapate mapato kuendesha shughuri za City Timu hizo haziwezi kushindwa kuwa na viwanja vyao ni mfumo unalazimisha kuwa hivyo mchezaji mmoja wa kaizer au orlando anapata rand 400,000 mpaka 450,000 bila bonus au man of the match bonus kwa mwaka anachukua 800,000,000 za kitanzania SA viwanja ni vingi kuliko wachezaji wenyewe viwanja vya miji tuu mnawashiea Taa usiku mazoezi hamlipi chochote na kila jion mnafanya mazoezi hivyo ni kama Azam complex na kila location city wa kiwanja mifano yako angalia unafananisha na nani?
 
lil wayne Timu inaweza kujenga uwanja kwa kushirikiana na bank au taasisi yeyote ya fedha kwa hiyo kuikopa na wao kurudisha deni taratibu hata ikiwa miaka 30 ni saea tuu maana hizo Timu zipo na mapato ya kufanya hivyo wanaweza kufanya ni vile wengi waliopo Simba na Yanga wapo kwa ajili ya maslahi kwa hiyo usitolee mfano huko SA au ulaya kupata kibali cha ukarabati wa uwanja inachukua miaka kukubaliwa wakati huku maeneo ya wazi yapo mengi ni swala la hela tuu..
 
lili wayne SA viwanja vyote au garden zinamilikiwa na City ili na wao wapate mapato kuendesha shughuri za City Timu hizo haziwezi kushindwa kuwa na viwanja vyao ni mfumo unalazimisha kuwa hivyo

Unasema timu hizo haziwezi kushindwa kuwa na viwanja vyao?

SI KWELI!!!

Kaiser Chiefs walikuwa na projects mbalimbali za kujenga Amakhosi Stadium tangu 2006...2010.....2012....!

Miaka yote hiyo walikuwa tayari kuanza kujenga na kumiliki kiwanja chao... Tatizo kubwa lililo wakwamisha mpaka ikapelekea waendelee kutumia viwanja vya Manispaa ni kushindwa kufikia maamuzi sahihi katika suala la Finance kwenye hii project.....

Suala ambalo linakwamisha akina simba na Yanga kuwa na viwanja vyao ndio hilo hilo linalokwamisha mtu kama Kaiser Chiefs kuwa na kiwanja chake.....

Kuwepo kwa FNB Stadium.
 
lil wayne hizo Timu haziwezi kuwa na vieanja vya benki ndio wanaojenga ni swala la kukubaliana tuu unajua makombe sita SA yanagharimu kiasi gani kwa kila msimu..Benk ndio wanaokopesha City au vilabu kujenga viwanja au ununuzi wa nyumba au magari hawapo katika mfumo wa cash kama kwetu mkuu ni swala la proposal tuu unakubaliwa shida yako unajua SA kila kitu ni cash kama bongo ndio maana unakazania hela hela...
 
Meche ijayo ya simba na yanga itachezewa uwanja taifa nawambia
 
Hii ni ligi ya Tanzania Bara, kwanini wameomba uwanja nje ya Tanzania Bara?
Just thinking Loud
 
Back
Top Bottom