Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mtachapwa bakora na kina Makame mpaka mkomeHata huko tutakuja tu.
Hatupendagi ujinga sisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtachapwa bakora na kina Makame mpaka mkomeHata huko tutakuja tu.
Hatupendagi ujinga sisi.
Kwa hiyo tunafatisha Italian soccer Siyo?Italia timu yenye kiwanja chake ni juve tu.... Usimshangae Yanga wala Simba kutokuwa na viwanja
Ila kwa timu kongwe kama hizi zenye fans Base kubwa na zenye mvuto mkubwa Africa ni aibu sana kutokuwa na viwanja vyao binafsi.Kama rahisi kukodi kwanini ujenge? hata nyumba wengi wanapanga sababu its cheaper kupangisha kuliko kujenga ya kwako.
Sera ya kifashist ya Mussolini ililazimu viwanja vyote kumilikiwa na serikali kupitia tawala za majiji kama ilivyokuwa Tanzania Sera ya kijamaa viwanja vyote vilimilikiwa na serikali...Kwa hiyo tunafatisha Italian soccer Siyo?
Hata inter Milan na ac Milan ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao usikaririIla kwa timu kongwe kama hizi zenye fans Base kubwa na zenye mvuto mkubwa Africa ni aibu sana kutokuwa na viwanja vyao binafsi.
zenj ni full saruji sasa sijui utang'oa vipi kile kiti,safi kabisa, zenji wale wanaotoa viti ni bakora tu.
hizo Timu ni mfumo na sera za huko italy zimeziminya kuwa na uwanja ila Yanga na Simba kukosa uwanja ni kutokua na mipango mizuri ya klabu na Fedha..unatoa mifano isiyohusiana kabisa kabisa...Hata inter Milan na ac Milan ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao usikariri
Watakuwa na masururu... 😀😀😀😀zenj ni full saruji sasa sijui utang'oa vipi kile kiti,
Manji ni tatizo kubwa sanahawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni
![]()
Wee jamaa unafurahisha kweli, kwa vile Inter na Ac Milan hawana viwanja basi na team zetu ndio zisiwe na Viwanja? Ebu jiulize hayo mapato tangu miaka na miaka yanakwenda wapi. Kwanini tunapenda sana kushabikia vibaka kwenye nchi Hii!Hata inter Milan na ac Milan ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao usikariri
kwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...Hata inter Milan na ac Milan ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao usikariri
Kwani ya ac Milan na inter yanaenda wapi!!!Wee jamaa unafurahisha kweli, kwa vile Inter na Ac Milan hawana viwanja basi na team zetu ndio zisiwe na Viwanja? Ebu jiulize hayo mapato tangu miaka na miaka yanakwenda wapi. Kwanini tunapenda sana kushabikia vibaka kwenye nchi Hii!
Ac Milan ya lini na imeanza kujenga linikwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...
Hata Simba wanajenga bunju haujaishakwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...
Ila kwa timu kongwe kama hizi zenye fans Base kubwa na zenye mvuto mkubwa Africa ni aibu sana kutokuwa na viwanja vyao binafsi.
fungua web yao utajua mpira wa ulaya hauna hata chembe za siasa ni sayansi tuuAc Milan ya lini na imeanza kujenga lini
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni
![]()
naona una mawazo ya kung'oa viti tuu mkuu na mawazo yako ya Ac milan mbona hawana uwanja?Hata Simba wanajenga bunju haujaisha