Yanga waomba kutumia uwanja wa Amani Zanzibar

Kama rahisi kukodi kwanini ujenge? hata nyumba wengi wanapanga sababu its cheaper kupangisha kuliko kujenga ya kwako.
Ila kwa timu kongwe kama hizi zenye fans Base kubwa na zenye mvuto mkubwa Africa ni aibu sana kutokuwa na viwanja vyao binafsi.
 
Kwa hiyo tunafatisha Italian soccer Siyo?
Sera ya kifashist ya Mussolini ililazimu viwanja vyote kumilikiwa na serikali kupitia tawala za majiji kama ilivyokuwa Tanzania Sera ya kijamaa viwanja vyote vilimilikiwa na serikali...
 
Hata inter Milan na ac Milan ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao usikariri
hizo Timu ni mfumo na sera za huko italy zimeziminya kuwa na uwanja ila Yanga na Simba kukosa uwanja ni kutokua na mipango mizuri ya klabu na Fedha..unatoa mifano isiyohusiana kabisa kabisa...
 
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni

Barua-Yanga-1.jpg
Manji ni tatizo kubwa sana
Eti aliamua kuuingiza watu bure kuikomoa serikali na Tff,
 
Hata inter Milan na ac Milan ni timu kongwe lakini hazina viwanja vyao usikariri
Wee jamaa unafurahisha kweli, kwa vile Inter na Ac Milan hawana viwanja basi na team zetu ndio zisiwe na Viwanja? Ebu jiulize hayo mapato tangu miaka na miaka yanakwenda wapi. Kwanini tunapenda sana kushabikia vibaka kwenye nchi Hii!
 
kwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...
 
Kwani ya ac Milan na inter yanaenda wapi!!!
 
kwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...
Ac Milan ya lini na imeanza kujenga lini
 
kwanza Ac milan mwakani uwanja wao unakamilika capacity ya 48,000 wamejenga miaka miwili tuu kuanzia 2015 mpaka 2017 wanakabidhiwa ground lao umeongea vitu ambavyo haviusiani kabisa kabisa...
Hata Simba wanajenga bunju haujaisha
 
Ila kwa timu kongwe kama hizi zenye fans Base kubwa na zenye mvuto mkubwa Africa ni aibu sana kutokuwa na viwanja vyao binafsi.

Wangeaibika AC Millan na Inter Millan, kama serikali imejenga na aina timu iliyokatika ligi kwanini Simba na Yanga wasitumie. Ni uchoyo wa kimatumbi tu, ndio maana shamba la bibi nyasi zinaoza zenyewe.
 
hawatoruhusiwa kutumia uwanja ulio nje ya mipaka ya Tanzania bara.... hiyo ni kanuni ya mashindano haya ya VPL sijui uongozi wa Yanga hawasomi hizi kanuni

Barua-Yanga-1.jpg

Kanuni mbona hazisemi mamlaka ya Waziri kama akitaka kupiga ban uwanja, kanuni hizi ilitakiwa mumpe Mh. Nape kabla hajazungumza na media ili ajue yeye kwanza mipaka ya kuzuia sababu kanuni inataja TFF sio manager wa uwanja wala Waziri.
 
Simba wakisikia Yanga imekubaliwa kuchezea Zanzibar hawatokubali kwenda kuchuana na Yanga huko maana wanajuaga zanzibar ni kiboko yao pale tu Yanga inapokwenda kuweka kambi huko huwa ni kichapo cha maana..
 
Back
Top Bottom