Yanga waombeni msamaha mashabiki

Yanga waombeni msamaha mashabiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo

Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
 
View attachment 1917873

Hivi unajua maana na malengo ya mechi ya kirafiki? Bilashaka Wewe utakuwa babra unashida kweli ebu jifunze mpira na umshauri vizuri Mo,Nafikiri ndiyo maana ulikwepa kufanya tamasha lako Tarehe 28/8 kwa kuogopa aibu ila kumbuka mficha maradhi kifo umuumbua.Utaumbuka tu wewe luka luka ,kimbia kimbia kuficha madhaifu ya kikosi chako Cha Simba ila siku yaja tena wala si mbali Tarehe zimekaribia lazima uyakanyage .
 
Mama j fc
 
Attachments

  • 240623074_143004501324890_8464050595739777207_n.mp4
    1.3 MB
[QUOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 40089681, member: 52569"

Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo

Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba[/QUOTE]Hali ilikua Kama hivi.
 
Attachments

  • Screenshot_20210831-125112.jpg
    Screenshot_20210831-125112.jpg
    21.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20210831-125112.jpg
    Screenshot_20210831-125112.jpg
    21.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20210831-125112.jpg
    Screenshot_20210831-125112.jpg
    21.6 KB · Views: 3
[QUOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 40089681, member: 52569"

Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo

Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Hali ilikua Kama hivi.
[/QUOTE]
Mkuu huu ni mwaka gani
 
[QUOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 40089681, member: 52569"

Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo

Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Hali ilikua Kama hivi.[/QUOTE]

Picha duka hii we mama j fc
 
Il mama j mmempa sifa nyingi sana mbona hana maajabu sana? Au kuna part two ambayo mimi sijaiona?
Ni upepe tu ,wakawaida ila ana kishudu ,sema jamaa ndo kaniangusha ,kitambi kubwa mb..oo ndogo
 
Hivi unajua maana na malengo ya mechi ya kirafiki? Bilashaka Wewe utakuwa babra unashida kweli ebu jifunze mpira na umshauri vizuri Mo,Nafikiri ndiyo maana ulikwepa kufanya tamasha lako Tarehe 28/8 kwa kuogopa aibu ila kumbuka mficha maradhi kifo umuumbua.Utaumbuka tu wewe luka luka ,kimbia kimbia kuficha madhaifu ya kikosi chako Cha Simba ila siku yaja tena wala si mbali Tarehe zimekaribia lazima uyakanyage .

Utopolo bhana mnachekesha kweli!
Mwaka jana mlifanya tamasha lenu na kiwango kikaonekana wazi ni kibovu mkaelezwa mkabisha eti ile ilikuwa mechi ya burudani tu, walioona mbali walisema kile kikosi hakiwezi kushinda ubingwa mkabisha mwishowe mkaishia kuilalamikia tff!
Mwaka huu mmeboronga zaidi mnajificha kwenye kivuli cha utetezi eti ile mechi ni ya malengo[emoji23][emoji196][emoji196] ... malengo gani hayo? Timu yenu ya vijana ingecheza japo vizuri kidoogo tungewaelewa lakini wale madogo ndio kabisa hamna kitu walizingua mwanzo mwisho!
Kubwa jinga utopolo ndio kabisaaa liliboronga hadi kinyaaa! Mwaka huu huko caf hizo mechi zote mnagongwa hamfiki popote na ubingwa hata wa maponduzi hamtaugusa!
 
Yani mama J ale raha zake ashushie na K Vant then Yanga wawaombe Radhi aaaaaaaaaaah mnakwama wapi jamani Wananchi kama wananchi walisimamisha NCHI full stop
 
View attachment 1917873

Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo

Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
Alifanya upumbavu tu, mimi mwanayanga si kumuimbisha kitu hajui.
 
Back
Top Bottom